DOKEZO Kuna kifo cha kizembe kimetokea juzi Msoga Hospitali, Chalinze. Tafadhali Mbunge Ridhiwani acheni siasa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
makonda alifunga hadi kamba za viatu.
 
Walichotuzidi ni kunywa pombe. Wazambia na pombe wamefunga ndoa ya kikristo. Hakuna kuachana
wewe una wajua vizuri afu mtu ana kuja kufananisha zambia na tz kisa katiba raia wa zambia wana ishi maisha ya ovyo sana wanao ishi vizuri ni wenye vyeo na waajiliwa tu hawa wengine kazi yao ni kunywa win tu
 
Zambia ni moja ya nchi masikini sana, imeachwa mbali sana na TANZANIA, we fala unaonekana ni limbukeni, Zambia ipi hiyo unayotaka kuisifia hapa? Kwa ukanda wa Kusini mwa Afrika, Ukiitoa SA, na kidogo Angola hakuna nchi yoyote inaifikia TANZANIA kwa maendeleo, yaan hakuna kabisa. Muindombinu mibovu, umeme shida, maji shida, Umasikini uliotopea.
 
Poleni sana wafiwa.
Hii nchi kila kona ni upumbavu mtupu wa haya majuha tunayoyaita viongozi.
 
Tukiwambia Ccm haifai mnatuona wajinga.
Mpaka yawakute ndio mnaelewa
 
Bila katiba mpya we ni mwongo tu
 
Bila katiba mpya we ni mwongo tu
 
Asante sana kwa udadavuzi wako mkuu.
 
Mungu amlaze pema.
Taarifa zitamfikia tu mlengwa na kwa wakati ufaao na akumbuke anachopanda atakivuna.
 
Shit countries just imagine angekua mtoto , mzazi au mke daah
 
hivi bei ya standby generator ni kiasi gani? au hata solar backup inagharimu kiasi gani? ukiangalia V8 la mbunge na mamaake utashangaa bei yake hapo hujaomba kujua thamani ya mandinga ya mstaafu mwenyewe. HATARI na NUSU
 
Hiyo msoga imetoa mpaka rais wa Tz. Kama ni lawama, ziende kwa familia nzima.
 
Yaani mfupa mdogo wa kuku, kirahisi tu unaondoka na mtu! Au kuna kamchezo ka nguvu za giza kamefanyika?
 
DUuu mfupa gani huo...itakua ni wa jogoo aliekomaa sana
Poleni sana...
 
Mkuu

Hapa sijaelewa mkuu

Hivi inawezekana yule sio kuku Bali mtu ndani ya kuku!!?

Au michezo ya uswahilini kwamba ale kuku huyo ili aende HUKO KWA mwenyezi!

Pasco hebu naomba maelezo kidogo Hapa Ili nipate shule!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…