Kuna kikundi ambacho eti ghafla sasa wanajadili mambo ya Zanzibar na Tanganyika na walikuwa hawasemi lolote wakati wa Magufuli awamu ya tano.
Hizi ni mbinu wanatumia ili Watanzania wamuone Mama kama vile sio mwenzao na kuwafanya Wanzanzibari waonekane kama watu wengine.
Hizi ni mbinu za ndani ya CCM ambao wanajaribu kugawanya watu wakijua Watanzania wa bara ni wengi.
Kutafuta sera mbaya wameshidwa sasa inabidi waende kwenye ubaguzi wa aina hii. Webmaster kuweni makini hawa watu wengi sio wenzetu ni wakutumwa.
Hii ndiyo kampeni ya hawa wala rushwa ilivyo sasa.