Tushawajua hao hawatusumbui, wanaongozwa na bashiteKuna kikundi ambacho eti ghafla sasa wanajadili mambo ya Zanzibar na Tanganyika na walikuwa hawasemi lolote wakati wa Magufuli awamu ya tano. Hizi ni mbinu wanatumia ili Watanzania wamuone Mama kama vile sio mwenzao na kuwafanya Wanzanzibari waonekane kama watu wengine. Hizi ni mbinu za ndani ya CCM ambao wanajaribu kugawanya watu wakijua Watanzania wa bara ni wengi. Kutafuta sera mbaya wameshidwa sasa inabidi waende kwenye ubaguzi wa aina hii. Webmaster kuweni makini hawa watu wengi sio wenzetu ni wakutumwa. Hii ndiyo kampeni ya hawa walarushwa ilivyo sasa
walipa kodi wakubwa Tanzania ni wanzanzibari akina Bakheresa nk na wapemba muungano ukivunjika mazao yenu atanunua nani wakati wanunuzi wakuu ni wazanzibariMuungano uvunjwe hauna unalotunufaisha watanganyika..
walipa kodi wakubwa Tanzania ni wanzanzibari akina Bakheresa nk na wapemba muungano ukivunjika mazao yenu atanunua nani wakati wanunuzi wakuu ni wazanzibari
mswahili ngozi nyeusi mtanganyika ni machinga tu na mpiga yowe la muungano uvunjike Mfano Chadema wanachama wao na viongozi wao akina Lisu waNaingiza shilingi ngapi TRA na kwenye ajira na mzunguko wa biashara ukilinganisha na wazanzibari walioko Tanzania bara? Malofa wakubwa
Wenda kuna ukweli kiasi katika maneno YAKO MKUU ila pia Hata Kama kunauchonganishi kiasi ila bora mengine yachukuliwe na kufanyiwa KAZI mfanoKuna kikundi ambacho eti ghafla sasa wanajadili mambo ya Zanzibar na Tanganyika na walikuwa hawasemi lolote wakati wa Magufuli awamu ya tano. Hizi ni mbinu wanatumia ili Watanzania wamuone Mama kama vile sio mwenzao na kuwafanya Wanzanzibari waonekane kama watu wengine. Hizi ni mbinu za ndani ya CCM ambao wanajaribu kugawanya watu wakijua Watanzania wa bara ni wengi. Kutafuta sera mbaya wameshidwa sasa inabidi waende kwenye ubaguzi wa aina hii. Webmaster kuweni makini hawa watu wengi sio wenzetu ni wakutumwa. Hii ndiyo kampeni ya hawa walarushwa ilivyo sasa
Hebu tutajie majina ya hao wana vikundi pamoja na boss aliewatuma ili tufikiria namna ya kudeal nao, otherwise hii ni porojoKuna kikundi ambacho eti ghafla sasa wanajadili mambo ya Zanzibar na Tanganyika na walikuwa hawasemi lolote wakati wa Magufuli awamu ya tano. Hizi ni mbinu wanatumia ili Watanzania wamuone Mama kama vile sio mwenzao na kuwafanya Wanzanzibari waonekane kama watu wengine. Hizi ni mbinu za ndani ya CCM ambao wanajaribu kugawanya watu wakijua Watanzania wa bara ni wengi. Kutafuta sera mbaya wameshidwa sasa inabidi waende kwenye ubaguzi wa aina hii. Webmaster kuweni makini hawa watu wengi sio wenzetu ni wakutumwa. Hii ndiyo kampeni ya hawa walarushwa ilivyo sasa
Kuna kikundi ambacho eti ghafla sasa wanajadili mambo ya Zanzibar na Tanganyika na walikuwa hawasemi lolote wakati wa Magufuli awamu ya tano. Hizi ni mbinu wanatumia ili Watanzania wamuone Mama kama vile sio mwenzao na kuwafanya Wanzanzibari waonekane kama watu wengine. Hizi ni mbinu za ndani ya CCM ambao wanajaribu kugawanya watu wakijua Watanzania wa bara ni wengi. Kutafuta sera mbaya wameshidwa sasa inabidi waende kwenye ubaguzi wa aina hii. Webmaster kuweni makini hawa watu wengi sio wenzetu ni wakutumwa. Hii ndiyo kampeni ya hawa walarushwa ilivyo sasa
Kwani wewe uko upande gani,unatakaa muungano au hautaki..?kifupi Tazania bara ibafaidi sana kutokana na wafanyabiashara wazanzibari walioko Tanzania bara kuliko zanzibar.Tanzania soko lake ni la watu miloni sitini kibiashara huwezi linganish na soko la zanzibar lenye watu milioni mbili .Ndio maana wafanyabiashara wa Zanzibar hupenda muungano.Wasiopenda ni vibaka wa kisiasa ajina Lisu na Zito kabwe nk maakin seif ambao maisa yao yote hawajawahi uza hata ashkrimu
Kwa mwendazake mkisema hataki kukosolewa na kwamama je?Kuna kikundi ambacho eti ghafla sasa wanajadili mambo ya Zanzibar na Tanganyika na walikuwa hawasemi lolote wakati wa Magufuli awamu ya tano. Hizi ni mbinu wanatumia ili Watanzania wamuone Mama kama vile sio mwenzao na kuwafanya Wanzanzibari waonekane kama watu wengine. Hizi ni mbinu za ndani ya CCM ambao wanajaribu kugawanya watu wakijua Watanzania wa bara ni wengi. Kutafuta sera mbaya wameshidwa sasa inabidi waende kwenye ubaguzi wa aina hii. Webmaster kuweni makini hawa watu wengi sio wenzetu ni wakutumwa. Hii ndiyo kampeni ya hawa walarushwa ilivyo sasa
Kwa nini asiilipie Zanzibar?walipa kodi wakubwa Tanzania ni wanzanzibari akina Bakheresa nk na wapemba muungano ukivunjika mazao yenu atanunua nani wakati wanunuzi wakuu ni wazanzibari
mimi mtanganyika nautaka muungano kwa nguvu zote Tanganyika kupitia TRA tunapata pesa nyingi mno kupitia wazanzibari wafanyao biashara Tanganyika na ajira wanatoa za kumwagaKwani wewe uko upande gani,unatakaa muungano au hautaki..?
maana naona unakoelekea unakua ndumilakuwili
Tena jomba koma kabisa..hela za mashoga haziwezi pokelewa popote...nani kakwambia TRA kuna akaunti ya mapato ya mashogawalipa kodi wakubwa Tanzania ni wanzanzibari akina Bakheresa nk na wapemba muungano ukivunjika mazao yenu atanunua nani wakati wanunuzi wakuu ni wazanzibari
mswahili ngozi nyeusi mtanganyika ni machinga tu na mpiga yowe la muungano uvunjike Mfano Chadema wanachama wao na viongozi wao akina Lisu waNaingiza shilingi ngapi TRA na kwenye ajira na mzunguko wa biashara ukilinganisha na wazanzibari walioko Tanzania bara? Malofa wakubwa hawana faida yeyotebTRA ukilinganisha na wazanzibari waiko Tanganyika