Kuna kikundi kimeanzisha uhasama wa Utanganyika na Uzanzibari, tuwe makini

Kikundi gani tena wakati mama ndo kaanzisha Hiyo mada ya kugawana fedha za muungano na wazanzibar?, hivyo vikundi mnavitengeneza wenyewe, Mama kayakoroga acha watu wadamke
Inakuuma eeee mbona husemi mgao wa Zanzibar wa 4.5 ambao upo kisheria na hamtupi miaka yote??
 
Kwa nini asiilipie Zanzibar?
kodi ukienda nchi yeyote unalipa uliposahiliwa na unapouza sasa uuze bara halafu ulipe kodi n VAT zanzibar? uuze biashara marekani halafu kodi ulipe Tanzania? hakuna kitu kama hicho
 
mimi mtanganyika nautaka muungano kwa nguvu zote Tanganyika kupitia TRA tunapata pesa nyingi mno kupitia wazanzibari wafanyao biashara Tanganyika na ajira wanatoa za kumwaga
Aaah ngoja niendelee kusoma comments apa nikipima mawazo naweza kujifunza jambo
 
Wewe inaonesha ni Mzenji na kama siyo Mzenji basi unapinga pinga tu kama akina Salary Slip
 
Huo uhasama unatakiwa ukolezwe hadi ipatikane Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi na Serikali ya Tanganyika.
Pelekeni Moto!!
 
Kama rais anatoka upande mmoja wa muungano itapendeza mwenyekiti wa chama chake akitokea upande mwingine.
 
Yaani wewe bila CHADEMA huwezi andika😂😃 Sijui no Nani kule aliahidi kukuoa akakimbia dakika za mwisho!
 
Kwa hiyo hutaki wajadili kwa kuwa ulikuwa huamini katika uhuru wa mawazo,na bado hutaki kubadilika kulingana na mtazamo wa Tanzania mpya ya matumaini na Mama.
 
Chokochoko hizi ziko huko huko CCM mbona unaihusisha Chadema na Lissu,hivi una akili timamu kweli wewe dada?
 
Kibaka mama yako
 

Umeongea utoto gani hapa we dogo?
 
Wewe ulishafungiwa kwenye chupa.
Huna unachokipenda au kukichukia.
Wanalotaka CCM ndilo utakalolishangilia.
mimi mtanganyika nautaka muungano kwa nguvu zote Tanganyika kupitia TRA tunapata pesa nyingi mno kupitia wazanzibari wafanyao biashara Tanganyika na ajira wanatoa za kumwaga
 
Naona Kuna mkono wa yule aliyeko gerezani. Omar al Bashiru. Kwa Imani yake na ujinga wake na upuuzi wake anaona madaraka lazima yabaki kwao sudanland
 
Kuvunjika kwa muungano sio kwa urahisi namna hio, eti kwa maoni ya kwenye mitandao ndio Shaka iwe juu ya muungano!

Mimi ninadhani kinachopaswa kufanywa na serikali zote Ni kuufanyia marekebisho muungano kukingana na nyakati tulizo nazo, upeo wa marifa na uchambuzi wa taarifa kwa wananchi wa leo.

Hatuwezi bado kuendelea kufungwa na hoja walizo toa wale wazee waanzilishi was muungano kwa nyakati zetu hizi.

Hatupaswi kuuvunja muungano bali kuufanyia marekebisho .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…