Hapana watanzania hawawezi kufanya lolote lile na polepole anajua hilo ila kuoñgea kwake tu kumewavua nguo sana kikwete na Samia hata wao kwa sasa wanamtuka matusi yote polepole kimyakimya.Kwa aliyo yasema yte polepole lengo lake ilikua ni WaTZ kususia uchaguz na kutaka reform ikibid kuingia barabarani kitu ambacho WaTZ hawawez uko si kupotteza muda
Unaijia Vietyeee we we1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Uzuri shida na kuumana hakuchagui... masikini na watu wa uchumi wa kati kitaumana. Hata hiyo $90 ya airport huwezi kuta tajiri analalamikaKwa lipi hasa wasitishe, kitu pekee cha kuwasimamisha CCM ni wananchi kuingia barabarani na kufanya maandamano yatakayo fanikiwa. Na tulivyo Watanzania hiki kitu hakiwezi kutokea. Hizi nyingine zote ni kelele za chura. Whether wapige kampeni au la watashinda.
Huyo genius aliekuja na wazo la $90 sijui alikua anawaza nini, hana nia njema na nchi yetu.Uzuri shida na kuumana hakuchagui... masikini na watu wa uchumi wa kati kitaumana. Hata hiyo $90 ya airport huwezi kuta tajiri analalamika
Tunahitaji watu wengi zaidi kama Polepole na wachache zaidi walio kama wewe.HIo haiwezekani. Polepole snapoteza muda wake . Angechukua fungu lake asherekee na familia yake.
Labds mpka vyama vya upinzani visusie uchaguz vyte vitake reform na wananchi wagome kupiga kura waingie barabarani. Kitu ambacho wabongo hawawezi
Kiufupi Sa100 ndo kapita hivyo
Kwa aliyo yasema yte polepole lengo lake ilikua ni WaTZ kususia uchaguz na kutaka reform ikibid kuingia barabarani kitu ambacho WaTZ hawawez uko si kupotteza muda
Matak* yako..... be straight, acha kutoa backend statements.Huyo genius aliekuja na wazo la $90 sijui alikua anawaza nini, hana nia njema na nchi yetu.
Uzuri Mungu sio Mmjomba Mmchumali.Acha awaumbue kikamilifu kwani wannasema hawasikiulizi.1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Naam, kaka umenena.Nina miaka 45 sijawahi ona mwanasiasa kama polepole hapa tz huyu ndo mzalendo.wanachadema wenzangu kwa nini viongozi wetu wanaogopa kumtaja rostam.mimi huyu rostam nitamfata nijitoe mhanga kwa ajili ya nchii.
Dah hii zaidi ya desperation.Yaani umekata tamaa mpaka unaleta ndoto za Ali Nacha.1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Kwa bahati mbaya mkuu 'Mshana Jr.', kwa mara nyingine chache sana sikubaliani na mada yako hii hapa leo.1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Mwanangu heal hizi frustrations zitakuua, shirikisha ubongo wako katika haya maisha ukiendekeza hisia utatukana kila MTU.Matak* yako..... be straight, acha kutoa backend statements.
Nonsense