Kampeni zenyewe zimedoda hazina shangwe, wananchi wamechoshwa na wizi wa kura na uchaguzi usio wazi uliokosa demokrasia. Hata wakisitisha kampeni zao poa tu, maana kinachatakiwa ni no reforms no election. Hizi kampeni zao ni kulazimisha mambo yasiyotakiwa kuelekea huo uchaguzi mkuu
Hii vipi kaka?
Food for war😅😅 kumbe wanalipwa bwashee?