GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawana hoja kabisa...wamejipanga mda mrefu ila hawakutumia akili kupanga ajenda. Yaani ni kama hawaijui kabisa nchi ya Tanzania...nimegundua Mpina angewagalagaza vibaya sana...yaani wasingemuweza hata robo...na lisu au heche ndio wangepoteana...yaani ccm wanatia aibu sana. Hawajui watanzania wanahitaji hoja za kawaida sana za maisha yao ya Kila siku...wao sijui wanazungumzia utumbo Gani maskini
 
Ya mbeleni hatujui lakini CCM haiwezi kukatisha kampeni kwa sababu dhaifu kama hizo. Mlianza
1. Hagombei kagombea
2. Uchaguzi hakuna ,tarehe imepangwa kabisa
3. NRNE ya CHADEMA itafanikiwa sasa hawana hamu na Lissu
4. Hana mvuto, tumeona kawe, Mwanza na ngerengere zilivyoitika.

Epuka matapeli UCHAGUZI OKTOBA UPO NA WAJANJA WATATIKI KWA SAMIA
 
Wewe Kwa akili Yako Kuna mtu wa kukaidi mbele ya hela? Unadhani Huwa wanuja Bure? Wanaonewa hela na misosi.
Unadhani Huwa wanuja Bure? Wanaonewa hela na misosi.
1. Usiwe na haraka ya kuandika utakosea sana
2. Asante kwa kutufumbua macho😂😂😂.. Naamini umeandika bila kutafakari impact yake
 
Unadhani Huwa wanuja Bure? Wanaonewa hela na misosi.
1. Usiwe na haraka ya kuandika utakosea sana
2. Asante kwa kutufumbua macho😂😂😂.. Naamini umeandika bila kutafakari impact yake
Ndio maana nikakwambia Kila hatua mnakuja na ramli na mnaangukia pua kwa sababu hamjui mbinu Wala mikakati.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo

2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika

3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi

4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!

5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana

6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba

7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
10✔️
 
HIo haiwezekani. Polepole snapoteza muda wake . Angechukua fungu lake asherekee na familia yake.

Labds mpka vyama vya upinzani visusie uchaguz vyte vitake reform na wananchi wagome kupiga kura waingie barabarani. Kitu ambacho wabongo hawawezi

Kiufupi Sa100 ndo kapita hivyo

Kwa aliyo yasema yte polepole lengo lake ilikua ni WaTZ kususia uchaguz na kutaka reform ikibid kuingia barabarani kitu ambacho WaTZ hawawez uko si kupotteza muda
Tusiishi kwa mazoea.. There is always next time...!
 
Back
Top Bottom