GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa lipi hasa wasitishe, kitu pekee cha kuwasimamisha CCM ni wananchi kuingia barabarani na kufanya maandamano yatakayo fanikiwa. Na tulivyo Watanzania hiki kitu hakiwezi kutokea. Hizi nyingine zote ni kelele za chura. Whether wapige kampeni au la watashinda.
Kumi haianzi na sifuri inaanza na moja
 
1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo

2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika

3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi

4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!

5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana

6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba

7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Kitu ambacho CCM na wana CCM HAWANA ni AHIBU/HAIBU na wapiga kura wa CCM ni vibibi,vibabu,mateja,masikini wa chini kabisa wa kipato pia masikini wa fikira.

Ukiangalia kwa umakini sana hayo makundi tajwa hapo ni wengi sana na ndio unao ona wanasombwa kwenye malori ya kubebea ng'ombe na kupelekwa kwenye mikutano.

Wengi wao ndio hao wajumbe sijui mabalozi sijui wa nyumba 10 sijui nyumba ngapi,ndio wanaofurahia kupewa baisikeli zenye thamani ya 1.4 M kila mmoja na kudanganywa kuwa ni msaada wakati wakiugua hawapewi msaada wa matibabu.

Kwa sababu ya kuamini hao wajinga walio waandaa kwa muda mrefu ya kwamba wao ni WAZALENDO wa Tanganyika hivyo kitu kinaitwa HAIBU CCM hawana bali MADARAKA KWANZA.
 
Tatizo unaota ndoto na utaota hivyohivyo wenyewe wanazidi kukata mbuga na watashinda hivi hivi mnaona na mtaishia kusema ooo hivi ooh vile
Hivi hapa kati yetu sisi wawili ni nani mwotaji.. Sema kweli yako bila unafique wa kijani
 
Hivi hapa kati yetu sisi wawili ni nani mwotaji.. Sema kweli yako bila unafique wa kijani
wewe unaota ndoto bro,ccm haiwezi kushindwa bila mikakati maalumu,ccm huwezi kuishinda kwa kuota ndoto na kuandika humu au kwenye mitandao
 
Kuwaondoa CCM madarakani mpaka damu za watu zimwagike kweli kweli nje ya hapo hakuna mtakalofanya.
 
Ndio maana nikakwambia Kila hatua mnakuja na ramli na mnaangukia pua kwa sababu hamjui mbinu Wala mikakati.
Ndio maana kwenye kampeni hamuwezi kukemea wizi ufisadi na rushwa😂😂😂😂
 
Ndio maana kwenye kampeni hamuwezi kukemea wizi ufisadi na rushwa😂😂😂😂
Mbona Kampeni za Chadomo kuteyana zilikumbwa na kashfa za Rushwa?

Mimi sio mjinga kwamba eti ni WA kusimuliwa kuhusu matendo ya nyie Wanasiasa,nawajua kweli kweli
 
Kuwaondoa CCM madarakani mpaka damu za watu zimwagike kweli kweli nje ya hapo hakuna mtakalofanya.
Hapana wala haina haja ya kumwaga damu ya mtu,ni mipango tu tujifunze nchi nyingine waliwezaje kuviondoa vyama vikongwe
 
Inavyoendelea kina pigo moja takatifu litakuja mwishoni
Licha ya kikwete Rostam Aziz kutumia mabilioni kuzuia utabili wa marehemu Shekhe Yahya usitimie, mungu atatenda yake kwani laana ya kuwatesa lisu chadema inawalemea sana
 
Mbona Kampeni za Chadomo kuteyana zilikumbwa na kashfa za Rushwa?

Mimi sio mjinga kwamba eti ni WA kusimuliwa kuhusu matendo ya nyie Wanasiasa,nawajua kweli kweli
Weka ithibati hapa... Hata ukiibeza CDM hapa haiondoi ukweli kwamba mnaiogopa mno
 
Mikakati ovu? Huo sio ushindi ni wizi
Hakuna gaja ya kufanya mikakati ovu bali mikakati thabiti,kuwa na watu sahihi na kuepuka vibaraka kama hawa wa sasa ambao wanawadanganya kuwa ni no reforms no election kumbe wamenunuliwa na ccm
 
HIo haiwezekani. Polepole snapoteza muda wake . Angechukua fungu lake asherekee na familia yake.

Labds mpka vyama vya upinzani visusie uchaguz vyte vitake reform na wananchi wagome kupiga kura waingie barabarani. Kitu ambacho wabongo hawawezi

Kiufupi Sa100 ndo kapita hivyo

Kwa aliyo yasema yte polepole lengo lake ilikua ni WaTZ kususia uchaguz na kutaka reform ikibid kuingia barabarani kitu ambacho WaTZ hawawez uko si kupotteza muda
Polepole ni Msanuaji, ni Fumbua macho,
So watanzania wachukue hatua au laa,
Historia itamsimulia tofauti HP
 
Dua la kuku halimpati mwewe

Ndoto za Ali Nacha

Ng'ombe wa maskini hazai na akizaa anakufa

Pilipili usioila inakuwashia nini

Malizieni na nyengine jameni
 
Back
Top Bottom