ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kwa mwana ccm ni wajibu hizo zingine ni bonus Kwa sababu za ubinadamu .Tukisema mnalazimishwa kupendwa mnajifanya kukataa, kiko wapi?
Ona unavyojitia kidole mwenyewe 😹😹
Kwa mwana ccm ni wajibu hizo zingine ni bonus Kwa sababu za ubinadamu .Tukisema mnalazimishwa kupendwa mnajifanya kukataa, kiko wapi?
Ona unavyojitia kidole mwenyewe 😹😹
😂😂😂😂😂 Nyie mafisadi na njaa Kali hamuwezi nibabaisha.Kumbe una tatizo kubwa la ufahamu🤓 weka kila unachotaka kuweka.. Hapo aliyeongea ni kiongozi wa chama utamtofautisha vp na chama chake
Wajibu kupanda lori na kufata msosi?Kwa mwana ccm ni wajibu hizo zingine ni bonus Kwa sababu za ubinadamu .
Ndio maana Kuna Mabasi Kwa Sasa na pia Mabasi binafsi Huwa yanakodiwa.Wajibu kupanda lori na kufata msosi?
Wewe kweli mjinga, unatoa siri za chama chako…!!
Hivi kwanini hadi Salam huwa anaisoma kwenye karatasi?
Huyu atakuchosha na link za media za vichochoroni, huyu ni musiba aliyechangamka 😹Kumbe una tatizo kubwa la ufahamu🤓 weka kila unachotaka kuweka.. Hapo aliyeongea ni kiongozi wa chama utamtofautisha vp na chama chake
😂😂😂😂😂 Nyie mafisadi na njaa Kali hamuwezi nibabaisha.
View: https://youtu.be/XGEw8PNBjNU?feature=shared
Kutukana ni dalili ya kutoka Nje ya mstari baada ya hoja kukolea.
Lori za ng’ombe zinatumika usitufanye wajinga km wewe..!!Ndio maana Kuna Mabasi Kwa Sasa na pia Mabasi binafsi Huwa yanakodiwa.
Hasa hasa wamama ambao wengi ni single mother na makahaba ambao hutumika sanaSema nini, kampeni zinaweza kiendelea lakini nimegundua Watz wa kijani hawana aibu kwakweli. Pamoja na zama hizi za karne ya 21 ambayo watu wamejanjaruka lakini wengine bado wanawaona wengine ni wajinga
Hata hivo ni wajingaSema nini, kampeni zinaweza kiendelea lakini nimegundua Watz wa kijani hawana aibu kwakweli. Pamoja na zama hizi za karne ya 21 ambayo watu wamejanjaruka lakini wengine bado wanawaona wengine ni wajinga
Kwa mfano hoja ya slow slow kuhusu mwenda zake ikienea vizuri kule kwa wakupush,italeta madhara makubwa sana kwa mboga mboga kanda ile1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
a1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Ungejikita kwenye CHADEMA yako badala ya kupiga ramli hapa kuhusu CCM1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo
2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika
3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi
4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!
5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana
6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba
7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
Hata mimi nalionaInavyoendelea kina pigo moja takatifu litakuja mwishoni
Shetani hana Rafiki, Nina hakika wewe ni shabiki maandazi, kuna mambo kuhusu ccm na Wanamtandao huyajuiUngejikita kwenye CHADEMA yako badala ya kupiga ramli hapa kuhusu CCM