GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
wewe unaota ndoto bro,ccm haiwezi kushindwa bila mikakati maalumu,ccm huwezi kuishinda kwa kuota ndoto na kuandika humu au kwenye mitandao
Kwa Uchaguzi upi? Wapi? Lini? Maana Tanzania hakuna uchaguzi kuna Maigizo ya uchaguzi hewa magumashi na vyama pandikizi vyama mchepuko vya ibilisi wa com
 
1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo

2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika

3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi

4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!

5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana

6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba

7. Tuhuma za kudhuriana kati yao

Hiyo ya zomea zomea. Ikitokea ikafanikiwa sehemu moja tu, game over.

Ila watasingixia Wapinzani hasa Chadema.
 
Hakuna gaja ya kufanya mikakati ovu bali mikakati thabiti,kuwa na watu sahihi na kuepuka vibaraka kama hawa wa sasa ambao wanawadanganya kuwa ni no reforms no election kumbe wamenunuliwa na ccm
OK tujikite kwenye mada sasa
 
1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo

2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika

3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi

4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada!

5. Kufarakana kati yao.. Timu ya kampeni! Na hili litahusisha pakubwa kwenye mambo ya pesa! Mgao kutoaminiana

6. Uasi wa kizalendo toka kwa wananchi kama Polepole ataendelea kupasua majipu yasiyo na tiba

7. Tuhuma za kudhuriana kati yao
 
Sasa hapo si unaona kabisa msimamo wa chama? Ulinistahi kwa lipi sasa hapo? Weka ya ccm inayokemea rushwa kwa ukali kiasi hiki🤓
Msimamo wa chama au wa Lisu? 😁😁😁😁😁

Wezi kama nyie wengine mna lipi la kunidanganya? Niongeze nyama?
 
Back
Top Bottom