Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
wazee wameona mbali sana,Na ndicho Mh. Freeman Mbowe alichomtaka Peter Msigwa kufanya, kuomba radhi na kutubu kuwa amekosea...
Sharti la kupatana ni hilo tu. Kiri kosa, omba radhi kwa namna na njia zilezile ulizotumia kurushia kashfa zako hizo za uongo...
Je, Mch. Peter Msigwa anao ujasiri huo?
Mimi naamini anao. Aliwahi kufanya kosa kama hili dhidi ya mwana CCM mwenzako wewe Tlaatlaah, Mzee Abdulhaman Kinana, akapelekwa mahakamani, akashindwa kuthibitisha tuhuma zake na mwisho wa siku akaomba radhi na yakaisha....
Hata sasa anaweza kufanya hivyo. Akiendelea kupanua mdomo wake, ajue tu kuwa MDOMO ULIKIPONZA KICHWA...
mathalani kuna mtu angeumbuka mahakamani na huenda ndio ingekua mwisho wa miongo kadhaa ya uongozi wake kwenye taasisi yake,
hata hivyo ni muhimu kuvuta subra, je wazee watafanikiwa au mtu ataumbuka?🐒