Kuna kila dalili na uwezekano Freeman Mbowe na Mchungaji Msigwa kumaliza tofauti zao nje ya mahakama

wazee wameona mbali sana,
mathalani kuna mtu angeumbuka mahakamani na huenda ndio ingekua mwisho wa miongo kadhaa ya uongozi wake kwenye taasisi yake,

hata hivyo ni muhimu kuvuta subra, je wazee watafanikiwa au mtu ataumbuka?🐒
 
Mnamtongoza mbowe🤣🤣🤣🤣...peleka mahakamani huyo😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…