Kuna kila dalili nchi ikarudi mfumo wa chama kimoja: Ikitokea hivyo ni faida kwa nani?

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,418
Reaction score
4,031
1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine.
2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja
3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi wake wakuu kupata makesi lukuki.
4. Baadhi ya wananchi hasa walio wengi hawatapata ukweli wa hali halisi ya serikali , ikikumbukwa kashfa za richmond, escrow, nk ziliibuliwa na vyama pinzani.
Tuchambue zaidi hoja hii kwa manufaa ya wengi.
 
Kama ni kwa ajili ya Tanzania, haina shida maana kinachoangaliwa ni maendeleo kupatikana tu mengine ni ziada kuwa navyo
 
Hii nchi ikirudisha mfumo wa Chama kimoja ndio utakuwa mwanzo wa machafuko ya ndani kitu kitakachopelekea Vita vya wenyewe kwa wenyewe

Mifano iko mingi tu CCM isije ikathubutu itakuwa imejimaliza na kulitumbukiza taifa kuwa kama Somalia
 
Kufuta vyama vya siasa ni kazi rahisi ila kufuta UPINZANI ndani ya mioyo ya watu haitawezekana. Hapo sasa ndiyo utasikia kapinduliwa au kanusurika kupiduliwa. Rejea Historia ya Nyerere alikoswakoswa mara ngapi?? Je kwa teknolojia ilivyo sasa unafikiri itawachukua wadukuaji muda gani kutimiza matakwa yao??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China ni chama kimoja na sasa ndio baba lao, angalia walivyoidhibiti corona, linganisha na nchi za Marekani na Ulaya, utaona chama kimoja ni faida,
 
Anayejua bill yoyote iliyopelekwa bungeni ikagonga mwamba sababu ya uwepo wa wapinzani au hoja binafsi iliyopelekwa na upinzani ikapita azitaje.

Upinzani usiodhibiti bunge ni sawa na kuwa kwenye chama kimoja tu.

Hizo RICHMOND sijui ESCROW kiuhalisia huwa ni minyukano ya ndani ya CCM kuelekea chaguzi na hao unaodai wanaibua huwa wanatumika tu kama loudspeakers kwa hiyo hata wasipokuwepo kuna platforms nyingi tu kama magazeti.

Kingine ni kwamba kifo cha chama kimoja hupaswi kukihusisha na kifo cha vyama vyote.

Chama Kikuu kikifa kinatoa nafasi kwa wengine wenye fikra mbadala ya kufanya siasa katika mazingira haya kuibuka tena wengi watakuwa haohao wasiopewa nafasi kwenye hicho chama kinachojifia.

Mtazamo tu.
 
Nitakuorodheshea kazi ni kwako
When rule part take place over position there something might change or insisting
1.No challenge for democracy
2.eruption of corruption
3.No investor we will come to invest
4.No power direct from their own citizens for decision
5.people live like prisoners
6.Economic depression
7. NGO's denaid
8.country Will be island for human rights and development support
9.Lack of investors and tourists
10.Baning from different organization and development state ie. WBO
 
1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine.
2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja
3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi wake wakuu kupata makesi lukuki.
4. Baadhi ya wananchi hasa walio wengi hawatapata ukweli wa hali halisi ya serikali , ikikumbukwa kashfa za richmond, escrow, nk ziliibuliwa na vyama pinzani.
Tuchambue zaidi hoja hii kwa manufaa ya wengi.
4 ndio kielelezo mpaka sasa bado hawajabadilika tu
 
Tuombe sana Mungu isifikie huko kabisa..lakini yote na yote ni kukataa haya mawazo ya kishetani ya viongozi wetu kuamini kwamba tukiwa na chama kimoja ndo maendeleo yatapatikana kitu ambacho sio kweli maana tunahitaji mawazo tofauti tofauti kwa ajili ya kujenga hii nchi hii na sio “one side decisions” kama wanaona kuwa na vyama vingi ni kikwazo kuna namna nyingine wanayoweza kuitumia ikiwa ni pamoja na kurekebisha sheria ya vyama vingi na kuweka misingi imara inayotakiwa kufuatwa na vyama hivyo bila kuathiri uendeahaji wa serikali..lakini pia ni muhimu raisi kupunguziwa madaraka aliyonayo maana kwa madaraka aliyonayo ndo maana anapata ndoto za ajabu ajabu na kufikiri kuwa kikwazo Cha maendeleo ni upinzani.
 
Duh...!, just do makes you happy, hupewi ban.
Huo ndio ukweli wenyewe, pole sana kwasababu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe.
P

Nime refer bandiko lako la 2017..Lakini P. Kwa mtazamo wako unafikiri magufuli akifanikiwa kuuwa upinzani ifikapo 2020 Ndio njia bora ya kuweza kutuletea maendeleo? Na je hiyo Ndio njia pekee anayoiona ya kumuenzi Mwalimu Nyerere aliyependekeza kuwepo na vyama vya upinzani? Na je ni nini faida ya kuwa na vyama vya upinzani kwa maendeleo? Na ni hasara gani pia hivi vyama kuwepo nchini?
 
Hii nchi ikirudisha mfumo wa Chama kimoja ndio utakuwa mwanzo wa machafuko ya ndani kitu kitakachopelekea Vita vya wenyewe kwa wenyewe

Mifano iko mingi tu CCM isije ikathubutu itakuwa imejimaliza na kulitumbukiza taifa kuwa kama Somalia
Utarejesha vipi huu mfumo wakati katiba inasema ni nchi yenye kufuata mfumo wa vyama vingi?
 
Faida kwa nchi ,wapinzani.hopeless,wanatumika kuligawa taifa,hutaki.acha
1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine.
2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja
3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi wake wakuu kupata makesi lukuki.
4. Baadhi ya wananchi hasa walio wengi hawatapata ukweli wa hali halisi ya serikali , ikikumbukwa kashfa za richmond, escrow, nk ziliibuliwa na vyama pinzani.
Tuchambue zaidi hoja hii kwa manufaa ya wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ndio mahubiri yenu kila siku?,nafikiri mtafarijika sana,kama mliombea corona ije na ikaja (technically)

Back
Top Bottom