Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums4. Baadhi ya wananchi hasa walio wengi hawatapata ukweli wa hali halisi ya serikali.
Tuchambue zaidi hoja hii kwa manufaa ya wengi.
4 ndio kielelezo mpaka sasa bado hawajabadilika tu1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine.
2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja
3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi wake wakuu kupata makesi lukuki.
4. Baadhi ya wananchi hasa walio wengi hawatapata ukweli wa hali halisi ya serikali , ikikumbukwa kashfa za richmond, escrow, nk ziliibuliwa na vyama pinzani.
Tuchambue zaidi hoja hii kwa manufaa ya wengi.
Nilikuwa nakuona wa maana kumbe wewe ni kimbo tu hata jf wakinipa ban sitojali ya humu tena
1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine.
2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja
3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi wake wakuu kupata makesi lukuki.
4. Baadhi ya wananchi hasa walio wengi hawatapata ukweli wa hali halisi ya serikali , ikikumbukwa kashfa za richmond, escrow, nk ziliibuliwa na vyama pinzani.
Tuchambue zaidi hoja hii kwa manufaa ya wengi.
Duh...!, just do makes you happy, hupewi ban.Nilikuwa nakuona wa maana kumbe wewe ni kimbo tu hata jf wakinipa ban sitojali ya humu tena
Duh...!, just do makes you happy, hupewi ban.
Huo ndio ukweli wenyewe, pole sana kwasababu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe.
P
Utarejesha vipi huu mfumo wakati katiba inasema ni nchi yenye kufuata mfumo wa vyama vingi?Hii nchi ikirudisha mfumo wa Chama kimoja ndio utakuwa mwanzo wa machafuko ya ndani kitu kitakachopelekea Vita vya wenyewe kwa wenyewe
Mifano iko mingi tu CCM isije ikathubutu itakuwa imejimaliza na kulitumbukiza taifa kuwa kama Somalia
Sasa nani kakuambia hii CCM huwa inafata katiba,kwa muda sasa katiba imekuwa ikisokotewa tumbaku huko magogoniUtarejesha vipi huu mfumo wakati katiba inasema ni nchi yenye kufuata mfumo wa vyama vingi?
1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine.
2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja
3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi wake wakuu kupata makesi lukuki.
4. Baadhi ya wananchi hasa walio wengi hawatapata ukweli wa hali halisi ya serikali , ikikumbukwa kashfa za richmond, escrow, nk ziliibuliwa na vyama pinzani.
Tuchambue zaidi hoja hii kwa manufaa ya wengi.
Hii nchi ikirudisha mfumo wa Chama kimoja ndio utakuwa mwanzo wa machafuko ya ndani kitu kitakachopelekea Vita vya wenyewe kwa wenyewe