Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Nia ya Magu ni kukiua Chadema tuNime refer bandiko lako la 2017..Lakini P. Kwa mtazamo wako unafikiri magufuli akifanikiwa kuuwa upinzani ifikapo 2020 Ndio njia bora ya kuweza kutuletea maendeleo? Na je hiyo Ndio njia pekee anayoiona ya kumuenzi Mwalimu Nyerere aliyependekeza kuwepo na vyama vya upinzani? Na je ni nini faida ya kuwa na vyama vya upinzani kwa maendeleo? Na ni hasara gani pia hivi vyama kuwepo nchini?
Anayejua bill yoyote iliyopelekwa bungeni ikagonga mwamba sababu ya uwepo wa wapinzani au hoja binafsi iliyopelekwa na upinzani ikapita azitaje.
Upinzani usiodhibiti bunge ni sawa na kuwa kwenye chama kimoja tu.
Hizo RICHMOND sijui ESCROW kiuhalisia huwa ni minyukano ya ndani ya CCM kuelekea chaguzi na hao unaodai wanaibua huwa wanatumika tu kama loudspeakers kwa hiyo hata wasipokuwepo kuna platforms nyingi tu kama magazeti.
Kingine ni kwamba kifo cha chama kimoja hupaswi kukihusisha na kifo cha vyama vyote.
Chama Kikuu kikifa kinatoa nafasi kwa wengine wenye fikra mbadala ya kufanya siasa katika mazingira haya kuibuka tena wengi watakuwa haohao wasiopewa nafasi kwenye hicho chama kinachojifia.
Mtazamo tu.
Tunahubiri ukweli na wananchi mliowajaza uoga wa kuuwawa na green guard wanajuaSio ndio mahubiri yenu kila siku?,nafikiri mtafarijika sana,kama mliombea corona ije na ikaja (technically)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo scandals aina ya RICHMOND zisizohusu mhimili uliojichimbia zaidi hata sasa magazeti yanatumika mbona!
Huyo anafikiria kuhusu chama kimoja hap nchini,naweza sem bado akili yake ipo miaka ya 80 huko, kwanza duh sijui nimwambije,ila kifupi haiwezekani kwa 100%Zimbabwe wamebaki na chama kimoja na maendeleo tunayaona, tupambane ibaki hiyo ccm tutapata unafuu kama zimbabwe ni mawazo ya kiccm.!
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine.
2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja
3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi wake wakuu kupata makesi lukuki.
4. Baadhi ya wananchi hasa walio wengi hawatapata ukweli wa hali halisi ya serikali , ikikumbukwa kashfa za richmond, escrow, nk ziliibuliwa na vyama pinzani.
Tuchambue zaidi hoja hii kwa manufaa ya wengi.
Bila upinzani ccm inalalaZimbabwe wamebaki na chama kimoja na maendeleo tunayaona, tupambane ibaki hiyo ccm tutapata unafuu kama zimbabwe ni mawazo ya kiccm.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Africa imeshindwa kwani vyama vingi vimeanza liniChina ni chama kimoja na sasa ndio baba lao, angalia walivyoidhibiti corona, linganisha na nchi za Marekani na Ulaya, utaona chama kimoja ni faida,
Ni vema tupeleke katiba ya kurudisha chama kimoja.Hii katiba tuliyo nayo tunaikiuka kila kukicha.Je ni kwa faida ya wananchi wote au watu wachache?1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine.
2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja
3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi wake wakuu kupata makesi lukuki.
4. Baadhi ya wananchi hasa walio wengi hawatapata ukweli wa hali halisi ya serikali , ikikumbukwa kashfa za richmond, escrow, nk ziliibuliwa na vyama pinzani.
Tuchambue zaidi hoja hii kwa manufaa ya wengi.
Nia ya Magu ni kukiua Chadema tu
Katiba yetu ilishapindishwa kwa mambo kadhaa na hayahojiki. Mfano; katiba inasema (ibara.......) Nchi yetu itafuata Siasa ya Ujamaa naKujitegemea ,na hili linahusu zaidi misingi mikuu ya Uchumi? Je, hali iko vile?Utarejesha vipi huu mfumo wakati katiba inasema ni nchi yenye kufuata mfumo wa vyama vingi?
Hivi kweli unaamini kuwa corona imekuja tz kwa nguvu za maombi?Sio ndio mahubiri yenu kila siku?,nafikiri mtafarijika sana,kama mliombea corona ije na ikaja (technically)
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni hawa washamba na malimbukeni.Hii nchi ikirudisha mfumo wa Chama kimoja ndio utakuwa mwanzo wa machafuko ya ndani kitu kitakachopelekea Vita vya wenyewe kwa wenyewe
Mifano iko mingi tu CCM isije ikathubutu itakuwa imejimaliza na kulitumbukiza taifa kuwa kama Somalia
Kama ni ukweli hauwezi kukaa na uongo hata siku mmoja kama upo kwa ajiri ya maslahi yako Kama samu mahela cypian musiba na akina lemetumuzi pambana utafika tu wakati ndio utasema tutaelewena tuDuh...!, just do makes you happy, hupewi ban.
Huo ndio ukweli wenyewe, pole sana kwasababu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe.
P
Elimu yako ndogo,Ccm haina uwezo wa kuifuta ,chadema ila inawasumbua kuwabambikizia Makesi ya kishamba na huo ni uoga .Wazungu ndio wenye Mfumo wa Vyama vingi hautakufa kamweKama ni kwa ajili ya Tanzania, haina shida maana kinachoangaliwa ni maendeleo kupatikana tu mengine ni ziada kuwa navyo
Eti Zimbabwe wana maendeleo! kila siku Mnangagwa ni kilio!! Wewe acha bangi.Zimbabwe wamebaki na chama kimoja na maendeleo tunayaona, tupambane ibaki hiyo ccm tutapata unafuu kama zimbabwe ni mawazo ya kiccm.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nini kifanyike ili tuwe na real multiparty state? Funguka tafadhali.Watu kushindwa kuwa na sera na mikakati bora inayoweza kuchochea maendeleo sasa naona ni muda wa kutafuta visingizio.
Wanashindwa kuelewa kuwa toka mwaka 1965 hadi 1995 nchi ilikuwa chini ya chama kimoja (de jure one party state), pia wanashindwa kuelewa kuwa toka 1995 hadi sasa nchi imekuwa ni (de facto one party state i.e. multi party state in disguise)..
Kama chini ya hiyo mifumo maendeleo bado hayajapatikana, basi hayatapatikana kabisa hata tuki-switch to Monarchy. In fact, hatujawa na Multi Party Democracy ktk nchi hii na kilichopo ni Multi Party System in Disguise.