Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
FactToo early to Judge..
Hili nalo nenoMatukio mawili ndiyo yalikuwa yanadetermine future yake:
1. Uchaguzi wa VP(Ameshajichanganya).
2. Baraza la Mawaziri (Mtego mwingine huu).
Kingine kikubwa kuliko vyote, wanatakiwa waache kutembelea nyota ya JPM, mambo ya kusema "Tutaenzi na kuendeleza aliyoyaacha" hayafai na yanacompromise future yake.
Mkuu, jamaa ana point ya msingi. Kama asipojijenga mapema na kuanza kuonyesha uwezo wake kwa kujifanyia mambo yake mwenyewe huko mbele itamuwia vigumu.Too early to Judge..
Unatulisha viporo. Na mbaya zaidi viporo vilivyochacha. Fanya ukazimue kama unasumbuliwa na mning'inio wa jana.nilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu
kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia upo upande unaweza kutengeneza hoja pia Samia akawa Rais wa muhula mmoja tu na waote wakaonekana sahahihi.
Samia Suluhu kama ana nafasi kubwa ya ku influence na kutengeneza hoja apewe mihula miwili lakini naona hilo ni ngumu kwa sababu hizi
Kwanza Serikali yake bado inaitwa Serikali ya awamu ya tano, nikisikia wabunge na watu wengine wa siasa wakiongea bado wanaiita hii serikali ya awamu ya tano, hili halina jibu sahihi kama ni ya 5 au 6 lakini Samia anaweza ku influence ianze kuitwa awamu ya 6, kwa kuwa kuendelea kuitwa awamu ya 5 kunatengeneza picha kuwa anamalizia ngwe ya Magufuli na sio kuwa anaanza ya kwake.
Pili anaonekana hana ujasiri wa kulivunja baraza la mawaziri, japo kuna utata kuhusu katiba kama inataka ama haija lazimisha, lakini Samia ana discretion ya kuvunja baraza la mawaziri na ikajengwa hoja tu kuwa uamuzi wake ni sahihi, hii itamfanya aweke watu wake ambao ambao ni watiifu kwake na hata kama atabakisha wale wa Magufuli pia sio mbaya kwa kuwa pia anaendeleza miradi ya mtangulizi wake
Tatu vyombo vya hbari hasa TBC vinamfanya Samia aendelee kuwa kwenye kivuli ha Magufuli, TBC wao kutwa nzima, taarifa za habari kwa sasa ni Magufuli, hatukatai ni kuwa wanaomboleza lakini pia yapo mambo ya mama ambayo anayafanya yanatakiwa yapewe kipaumble na kuanza kupewa airtime, mfano ripoti ya CAG na maamuzi ya Samia aliyochukua yamepewa nafasi kidogo sana pale TBC, wao wanarudia hotuba za Magufuli tu, hawarudii kabisa hotub za Samia, sasa hili Rais mpya anatakiwa aliondoe endapo atataka awe rais wa mihula miwili na kuacha legacy yake na sio kuwa place holder president
Huyu mama kama anataka kujenga heshima apigwe miaka yake 4 akae pembeninilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu
kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia upo upande unaweza kutengeneza hoja pia Samia akawa Rais wa muhula mmoja tu na waote wakaonekana sahahihi.
Samia Suluhu kama ana nafasi kubwa ya ku influence na kutengeneza hoja apewe mihula miwili lakini naona hilo ni ngumu kwa sababu hizi
Kwanza Serikali yake bado inaitwa Serikali ya awamu ya tano, nikisikia wabunge na watu wengine wa siasa wakiongea bado wanaiita hii serikali ya awamu ya tano, hili halina jibu sahihi kama ni ya 5 au 6 lakini Samia anaweza ku influence ianze kuitwa awamu ya 6, kwa kuwa kuendelea kuitwa awamu ya 5 kunatengeneza picha kuwa anamalizia ngwe ya Magufuli na sio kuwa anaanza ya kwake.
Pili anaonekana hana ujasiri wa kulivunja baraza la mawaziri, japo kuna utata kuhusu katiba kama inataka ama haija lazimisha, lakini Samia ana discretion ya kuvunja baraza la mawaziri na ikajengwa hoja tu kuwa uamuzi wake ni sahihi, hii itamfanya aweke watu wake ambao ambao ni watiifu kwake na hata kama atabakisha wale wa Magufuli pia sio mbaya kwa kuwa pia anaendeleza miradi ya mtangulizi wake
Tatu vyombo vya hbari hasa TBC vinamfanya Samia aendelee kuwa kwenye kivuli ha Magufuli, TBC wao kutwa nzima, taarifa za habari kwa sasa ni Magufuli, hatukatai ni kuwa wanaomboleza lakini pia yapo mambo ya mama ambayo anayafanya yanatakiwa yapewe kipaumble na kuanza kupewa airtime, mfano ripoti ya CAG na maamuzi ya Samia aliyochukua yamepewa nafasi kidogo sana pale TBC, wao wanarudia hotuba za Magufuli tu, hawarudii kabisa hotub za Samia, sasa hili Rais mpya anatakiwa aliondoe endapo atataka awe rais wa mihula miwili na kuacha legacy yake na sio kuwa place holder president
Lazima aanze kuwateua akina January kama anataka kufika mbaliMkuu, jamaa ana point ya msingi. Kama asipojijenga mapema na kuanza kuonyesha uwezo wake kwa kujifanyia mambo yake mwenyewe huko mbele itamuwia vigumu. Hiki kitendo cha kuendelea kuwapiga chini Wafia chama na kubeba Wakuja lazima kitakuja kuwa mwiba huko mbeleni. Kuna kila possibility that 2025 kuna kundi litaibuka litadai kuwa yeye hakuwa chaguo la Chama bali Muendazake. Kwa kutumia hiyo point, itabidi apambanishwe na wengine ..... Ila kama hili litatokea natabiri mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea CCM
Aliyekwenda kaenda, waachane na hiyo hulka ya upuuzi wa kutaka kuenzi mwendazake, watu watawachoka na kuwaona hawafai, kiongozi yoyote, asiye na vision yake binafsi ni mfu.Matukio mawili ndiyo yalikuwa yanadetermine future yake:
1. Uchaguzi wa VP(Ameshajichanganya).
2. Baraza la Mawaziri (Mtego mwingine huu).
Kingine kikubwa kuliko vyote, wanatakiwa waache kutembelea nyota ya JPM, mambo ya kusema "Tutaenzi na kuendeleza aliyoyaacha" hayafai na yanacompromise future yake.
Toka mwanzo sikuwa na imani na huyu mamaHili nalo neno
yote ni makundi. hatakiwi kuegemea kundi lolote lile. yatamvurugia uongozi wake.Kisiasa mama Samia anatakiwa aegemee Kwa Maghufuli , hlo kundi Lina mtaji kisiasa , akienda upande mwingine wa Twitter , atapitia wakat mgumu Sana
Mpango hafai kuwa kiongozi hata kidogoAliyekwenda kaenda, waachane na hiyo hulka ya upuuzi wa kutaka kuenzi mwendazake, watu watawachoka na kuwaona hawafai, kiongozi yoyote, asiye na vision yake binafsi ni mfu.
Nimeona huyo VP mpya anasema wapinzani wajiunge na CCM, nikahisi mama Rais, kabugi kashaurika na kushawishika vibaya.
Kuna mambo mengi nchi hii ya kuzungumziwa, yaani Mpango anataka kutembelea mule mule mwa marehemu, anajimwambafayi kama mwendazake, na pia huko bungeni wapinzani ni wachache, sijui wapinzani wapi aliowazungumzia??
Labda kama ilikuwa strategic move kumtoa pale wizara nyeti ya fedha, ili aanze na waziri wake mwenye maono yatakayokuwa yanaendana na yeye kama raisi wake.
Bajeti itakayokuja itatupa maono yake.
Everyday is Saturday............................... 😎