Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Well saidyote ni makundi. hatakiwi kuegemea kundi lolote lile. yatamvurugia uongozi wake.
asimame kwenye njia yake.
hayo makundi yana interest zao.
Well saidyote ni makundi. hatakiwi kuegemea kundi lolote lile. yatamvurugia uongozi wake.
asimame kwenye njia yake.
hayo makundi yana interest zao.
Point number moja nope. point namber 2 yes.Matukio mawili ndiyo yalikuwa yanadetermine future yake:
1. Uchaguzi wa VP(Ameshajichanganya).
2. Baraza la Mawaziri (Mtego mwingine huu).
Kingine kikubwa kuliko vyote, wanatakiwa waache kutembelea nyota ya JPM, mambo ya kusema "Tutaenzi na kuendeleza aliyoyaacha" hayafai na yanacompromise future yake.
Ngoja tuone baada ya kuukwaa Uwenyekiti wa Chama ... Kama unavyosema ni muhimu kwake kuwarudisha akina January, Nape ili wamsaidie kujiimarisha. Wachumia tumbo desidgn ya kina Polpole watakiwi kuwaamini!Lazima aanze kuwateua akina January kama anataka kufika mbali
Polepole ni mtu wa hovyoNgoja tuone baada ya kuukwaa Uwenyekiti wa Chama ... Kama unavyosema ni muhimu kwake kuwarudisha akina January, Nape ili wamsaidie kujiimarisha. Wachumia tumbo desidgn ya kina Polpole watakiwi kuwaamini!
Africa kuna laana kubwa snWatu ambao hata Kikatiba muda wao umekwisha wanataka waongezewe muda...., Sembuse mtu aliyepo jikoni na Kikatiba inamlinda aendelee alafua aache ?, Maybe kama sio Afrika (au wamuondoe kwa figisu figisu)
Labda wanasubiri 21 days ziishe...Kwanza TBC wanaweza pewa amri Tu siku moja ..done
Mengineyo yote ni too early Rais Hana hata wiki mbili
Waendelee kumlusha tuone kama atafufuka..niuupuuzi tu umewajaa wapuuzi.Duh.mzee umekunywa chai, kweli? Mbona Kama umeandika hoja mfu hivi, japo kweli mwenye kuamua ni Mungu lakini hoja zao hizo hazina mashiko nachelea kuandika usahihi hapa maana pengine unaweza kuwa na upeo mdogo Kama tu umeshinda kujua kuwa now Taifa lipo katika Hali Gani na kwa nini media nyingi wanarusha hizo hotuba za Hayati.
Ametangaza hadharani kuwa yeye ndiye rais wa awamu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Subiri achukue kiti cha mwenyekiti ndiyo utajiridhidha kuwa atatawala miaka 9 bila shaka yoyote. U naifahamu ccm sawa sawa? ??????Nilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu.
Kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia upo upande unaweza kutengeneza hoja pia Samia akawa Rais wa muhula mmoja tu na waote wakaonekana sahahihi.
Samia Suluhu kama ana nafasi kubwa ya ku influence na kutengeneza hoja apewe mihula miwili lakini naona hilo ni ngumu kwa sababu hizi.
Kwanza Serikali yake bado inaitwa Serikali ya awamu ya tano, nikisikia wabunge na watu wengine wa siasa wakiongea bado wanaiita hii serikali ya awamu ya tano, hili halina jibu sahihi kama ni ya 5 au 6 lakini Samia anaweza ku influence ianze kuitwa awamu ya 6, kwa kuwa kuendelea kuitwa awamu ya 5 kunatengeneza picha kuwa anamalizia ngwe ya Magufuli na sio kuwa anaanza ya kwake.
Pili anaonekana hana ujasiri wa kulivunja baraza la mawaziri, japo kuna utata kuhusu katiba kama inataka ama haija lazimisha, lakini Samia ana discretion ya kuvunja baraza la mawaziri na ikajengwa hoja tu kuwa uamuzi wake ni sahihi, hii itamfanya aweke watu wake ambao ambao ni watiifu kwake na hata kama atabakisha wale wa Magufuli pia sio mbaya kwa kuwa pia anaendeleza miradi ya mtangulizi wake.
Tatu vyombo vya habari hasa TBC vinamfanya Samia aendelee kuwa kwenye kivuli ha Magufuli, TBC wao kutwa nzima, taarifa za habari kwa sasa ni Magufuli, hatukatai ni kuwa wanaomboleza lakini pia yapo mambo ya mama ambayo anayafanya yanatakiwa yapewe kipaumble na kuanza kupewa airtime, mfano ripoti ya CAG na maamuzi ya Samia aliyochukua yamepewa nafasi kidogo sana pale TBC, wao wanarudia hotuba za Magufuli tu, hawarudii kabisa hotuba za Samia. Sasa hili Rais mpya anatakiwa aliondoe endapo atataka awe rais wa mihula miwili na kuacha legacy yake na sio kuwa place holder president.
CCM Huwa hawajuagi kufuata katiba.Watu ambao hata Kikatiba muda wao umekwisha wanataka waongezewe muda...., Sembuse mtu aliyepo jikoni na Kikatiba inamlinda aendelee alafua aache ?, Maybe kama sio Afrika (au wamuondoe kwa figisu figisu)
Namba Tatu...Nilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu.
Kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia upo upande unaweza kutengeneza hoja pia Samia akawa Rais wa muhula mmoja tu na waote wakaonekana sahahihi.
Samia Suluhu kama ana nafasi kubwa ya ku influence na kutengeneza hoja apewe mihula miwili lakini naona hilo ni ngumu kwa sababu hizi.
Kwanza Serikali yake bado inaitwa Serikali ya awamu ya tano, nikisikia wabunge na watu wengine wa siasa wakiongea bado wanaiita hii serikali ya awamu ya tano, hili halina jibu sahihi kama ni ya 5 au 6 lakini Samia anaweza ku influence ianze kuitwa awamu ya 6, kwa kuwa kuendelea kuitwa awamu ya 5 kunatengeneza picha kuwa anamalizia ngwe ya Magufuli na sio kuwa anaanza ya kwake.
Pili anaonekana hana ujasiri wa kulivunja baraza la mawaziri, japo kuna utata kuhusu katiba kama inataka ama haija lazimisha, lakini Samia ana discretion ya kuvunja baraza la mawaziri na ikajengwa hoja tu kuwa uamuzi wake ni sahihi, hii itamfanya aweke watu wake ambao ambao ni watiifu kwake na hata kama atabakisha wale wa Magufuli pia sio mbaya kwa kuwa pia anaendeleza miradi ya mtangulizi wake.
Tatu vyombo vya habari hasa TBC vinamfanya Samia aendelee kuwa kwenye kivuli ha Magufuli, TBC wao kutwa nzima, taarifa za habari kwa sasa ni Magufuli, hatukatai ni kuwa wanaomboleza lakini pia yapo mambo ya mama ambayo anayafanya yanatakiwa yapewe kipaumble na kuanza kupewa airtime, mfano ripoti ya CAG na maamuzi ya Samia aliyochukua yamepewa nafasi kidogo sana pale TBC, wao wanarudia hotuba za Magufuli tu, hawarudii kabisa hotuba za Samia. Sasa hili Rais mpya anatakiwa aliondoe endapo atataka awe rais wa mihula miwili na kuacha legacy yake na sio kuwa place holder president.
pita tu pembeni ukiona kitu sio cha taste yakoUna
Unatulisha viporo. Na mbaya zaidi viporo vilivyochacha. Fanya ukazimue kama unasumbuliwa na mning'inio wa jana.
Aaaah wapi!!!!!Ngoja tuone baada ya kuukwaa Uwenyekiti wa Chama ... Kama unavyosema ni muhimu kwake kuwarudisha akina January, Nape ili wamsaidie kujiimarisha. Wachumia tumbo desidgn ya kina Polpole watakiwi kuwaamini!
sasa si utaje huo upungufu wa hizo hoja? na hapa sijataja sula la media pekee,au hiyo akili yako kubwa ndio imeona hilo pekeeDuh mzee umekunywa chai, kweli? Mbona Kama umeandika hoja mfu hivi, japo kweli mwenye kuamua ni Mungu lakini hoja zao hizo hazina mashiko nachelea kuandika usahihi hapa maana pengine unaweza kuwa na upeo mdogo Kama tu umeshinda kujua kuwa now Taifa lipo katika Hali Gani na kwa nini media nyingi wanarusha hizo hotuba za Hayati.
Magufuli alizikamata sana akili za MATAGA!.CCM ni majitu ya ajabu sana. Huyu mama kila anachofanya wanasema ni kazi ya Magufuli huyu anafuata nyayo tu. Anatekeleza tu.
Binafsi natamani sasa aanze kuibwa na kutajwa Samia. yeye mwenyewe samia asipojitetea ataendelea kuonekana ndani ya kivuli cha Magufuli. Ajipambanue kuwa yeye sasa ni Rais kamili na hajamshikia mtu hicho kiti. yaani sasa hivi anaonekana kama vile anatumwa tu na "Magufuli" kwamba fanya hiki, fanye kile. Hii hatumtendei haki kabisa.
Katiba hijataja kuhusu hil mkuu ila Samia akitaka anaweza kujenga hoja na kusema hii ni awamu ya 6 na akapiga miaka 10, Zanzibar kule wanaita hii awamu ya mwinyi ni awamu ya 8 sababu kuna marais wengi hawakumaliza miaka 10, cha ajabu huku bara wanaita awamu ya 5Naomba kuuliza, Katiba inasema ukomo ni awamu 2 au miaka 10? Na Je, utawala wa Samia unatambulikana ni awamu ya tano au ya 6?