Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Tusubiri siku 100
Acha kundaganya mazaa kutembelea ujiwe ni kumpoteza huyo jiwe watu walimchoka kuliko maelezo, mheshimiwa watu Wana Imani naye kubwa aache kutembelea Mambo ya jiwe atajiharibia kwa raia. Kwanza kwanini atembelee viatu vya mwenda zake?Ukweli ni kwamba ili mama adumu inatakiwa atembelee upepo wa magufuli.Akija na ajenda zake mpya ambazo ni kinzani na za hayati JPM,hata hii miaka minne hatatoboa.
Dr mpango jana kasema "wananchi wengi walijitokeza kumuagaw hayati, Airport walivunja mageti na boda boda kibao kule Dododoma kwa. Sababu alikuwa mtetezi wao,wananchi hao wanategemea warithi wa JPM wayaishi maono yake,ikiwa kinyume wanachi hao hawataelewa"
Watu mnawatamani sana team Msoga,ila kwa bahati mbaya hiyo nafasi hawana[emoji28]. Alafu CHADEMA mnawazaje kuwa na uchungu na anguko la CCM? Kama unaona bila ya January Makamba CCM haiwezi kwenda, ulitakiwa kufurahia Ili na nyinyi mpate nafasi siku moja.Lazima aanze kuwateua akina January kama anataka kufika mbali
Ni kweli kabisa, Rais mama Samiah, asitumbukizwe kwenye huo mtego.Huyo mpango ana mawazo ya jiwe na kuminya Uhuru wa watu sasa hao wapinzani wakienda ccm, Nini kimebadilika maana Bado anaishi era za jiwe ambazo raia walizichoka kabisa Mambo ya u dictator tu.
Hafu mama samia avae viatu vyake kuvaa vya jiwe ni kujipiteza, pia ao anao waona threat awaweke close watamsaidia kuliko hao asiowaogopa, na it's obvious ukitaka mbwa asikubwekee mrushie nyama au mfupa.
Mpuuzi wewe siyo kila anayeshauri ni CHADEMA au CCM, kuna wengine wapo huru wanataka maendeleo ya nchi na siyo vyamaWatu mnawatamani sana team Msoga,ila kwa bahati mbaya hiyo nafasi hawana[emoji28]. Alafu CHADEMA mnawazaje kuwa na uchungu na anguko la CCM? Kama unaona bila ya January Makamba CCM haiwezi kwenda, ulitakiwa kufurahia Ili na nyinyi mpate nafasi siku moja.
Hatuna viongozi isipokuwa tuna watawalaHasa kwa viongozi
Sure🙉🙉Duh mzee umekunywa chai, kweli? Mbona Kama umeandika hoja mfu hivi, japo kweli mwenye kuamua ni Mungu lakini hoja zao hizo hazina mashiko nachelea kuandika usahihi hapa maana pengine unaweza kuwa na upeo mdogo Kama tu umeshinda kujua kuwa now Taifa lipo katika Hali Gani na kwa nini media nyingi wanarusha hizo hotuba za Hayati.
Mimi siko bongo, ila siku hile niliona nguvu za umma...Ukweli ni kwamba ili mama adumu inatakiwa atembelee upepo wa magufuli.Akija na ajenda zake mpya ambazo ni kinzani na za hayati JPM,hata hii miaka minne hatatoboa.
Dr mpango jana kasema "wananchi wengi walijitokeza kumuagaw hayati, Airport walivunja mageti na boda boda kibao kule Dododoma kwa. Sababu alikuwa mtetezi wao,wananchi hao wanategemea warithi wa JPM wayaishi maono yake,ikiwa kinyume wanachi hao hawataelewa"
Yeye achape kazi,hayo ya kusemwa asiyajali yatampotezea muda na kumletea msongo bure,kila mwenye macho na masikio atayaona kwa macho na masikio yatafanyakazu yakeCCM ni majitu ya ajabu sana. Huyu mama kila anachofanya wanasema ni kazi ya Magufuli huyu anafuata nyayo tu. Anatekeleza tu.
Binafsi natamani sasa aanze kuibwa na kutajwa Samia. yeye mwenyewe samia asipojitetea ataendelea kuonekana ndani ya kivuli cha Magufuli. Ajipambanue kuwa yeye sasa ni Rais kamili na hajamshikia mtu hicho kiti. yaani sasa hivi anaonekana kama vile anatumwa tu na "Magufuli" kwamba fanya hiki, fanye kile. Hii hatumtendei haki kabisa.
Hawezi kufuata matakwa ya wana twitter!Matukio mawili ndiyo yalikuwa yanadetermine future yake:
1. Uchaguzi wa VP(Ameshajichanganya).
2. Baraza la Mawaziri (Mtego mwingine huu).
Kingine kikubwa kuliko vyote, wanatakiwa waache kutembelea nyota ya JPM, mambo ya kusema "Tutaenzi na kuendeleza aliyoyaacha" hayafai na yanacompromise future yake.
Hilo gang la mwendazake wanampotosha kuendeleaa na maono ya mtu wao ni kumpoteza mama aisee, na Tena ikiwezekana miradi yenye hasara ka ndege sijui bwawa fyekelea mbali, mama aje na kipaumbele chake Cha kuinua uchumi na sector binafsi ili iajiri watu wengi, kuna swala la masilahi ya watumishi Basi Mei mosi hii awape kicheko Cha kuwapoza wafanyakazi ili kuanza na mwanzo mzuri na kupataa reception nzuri ya uongozi wake, so aje na kitu cha kukonga nyoyo za wananchi na kamwe asi dance beat za mwendazake atapotea.Ni kweli kabisa, Rais mama Samiah, asitumbukizwe kwenye huo mtego.
Alitoa speech nzuri sana alipoingia atembelee SPEECH ile ile.
Hawa vibaraka wa mwendazake wana mawazo ya kumuangusha ili waje easement nchi haikuwa tayari kuongozwa na mwanamke.
Awe na maono yake, yeye kama yeye, na baada ya siku 21, apige stop, propaganda za kumuenzi jiwe zilizo kwenye media.
Aanze kujitangaza, amwage cheche, achague baraza atangaze baraza lake hata kama ni hao ila likatoa viungulia kama Mwigulu.
Afanye reshuffle ya MaRC, MaDC, hata kama kuwahamisha tokea kituo kimoja kwenda kingine..wapo wadhaifu, waharibifu awaondoe!
Asidanganyike na kuchapishiwa khanga mtaani[emoji23]. System is full of crooks!
Everyday is Saturday............................... 😎
Hujui kuwa Bado tuko kwenye maombolezo? Jamani tuweni na busara.Waendelee kumlusha tuone kama atafufuka..niuupuuzi tu umewajaa wapuuzi.
Sisi tibisii tunasubiri siku za maombolezo ziishe ndipo tuanze kumpromo mama. Tutaanza upyaaa na hiyo taarifa ya sieijii usiwaze.!Nnilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu
Kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia upo upande unaweza kutengeneza hoja pia Samia akawa Rais wa muhula mmoja tu na waote wakaonekana sahahihi.
Samia Suluhu kama ana nafasi kubwa ya ku influence na kutengeneza hoja apewe mihula miwili lakini naona hilo ni ngumu kwa sababu hizi
Kwanza Serikali yake bado inaitwa Serikali ya awamu ya tano, nikisikia wabunge na watu wengine wa siasa wakiongea bado wanaiita hii serikali ya awamu ya tano, hili halina jibu sahihi kama ni ya 5 au 6 lakini Samia anaweza ku influence ianze kuitwa awamu ya 6, kwa kuwa kuendelea kuitwa awamu ya 5 kunatengeneza picha kuwa anamalizia ngwe ya Magufuli na sio kuwa anaanza ya kwake.
Pili anaonekana hana ujasiri wa kulivunja baraza la mawaziri, japo kuna utata kuhusu katiba kama inataka ama haija lazimisha, lakini Samia ana discretion ya kuvunja baraza la mawaziri na ikajengwa hoja tu kuwa uamuzi wake ni sahihi, hii itamfanya aweke watu wake ambao ambao ni watiifu kwake na hata kama atabakisha wale wa Magufuli pia sio mbaya kwa kuwa pia anaendeleza miradi ya mtangulizi wake
Tatu vyombo vya habari hasa TBC vinamfanya Samia aendelee kuwa kwenye kivuli ha Magufuli, TBC wao kutwa nzima, taarifa za habari kwa sasa ni Magufuli, hatukatai ni kuwa wanaomboleza lakini pia yapo mambo ya mama ambayo anayafanya yanatakiwa yapewe kipaumble na kuanza kupewa airtime, mfano ripoti ya CAG na maamuzi ya Samia aliyochukua yamepewa nafasi kidogo sana pale TBC, wao wanarudia hotuba za Magufuli tu, hawarudii kabisa hotub za Samia, sasa hili Rais mpya anatakiwa aliondoe endapo atataka awe rais wa mihula miwili na kuacha legacy yake na sio kuwa place holder president
Mzanzibar anakuja kuamua Mambo ya watu kasulu ,namtumbo,horohoro ,au tunduma .Obviously, atakuwa Rais wa muhula mmoja.
Binafsi sina tatizo na mama huyu. Nina mwamini na kwamba ktk kipindi hiki kilichobaki atafanya vizuri na kurekebisha mengi yaliyoharibiwa na Mwendazake.
Ni kwa sababu pia, wanawake kote duniani waliowahi na wanaongoza mataifa yao, hawana historia ya uongozi wa kibabe na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Hopefully, Mungu kamleta kwa muda mfupi tu ili kupoza makovu na maumivu yaliyosababishwa na uongozi hatari wa mwendazake ambaye kama angeendelea kuwepo, angelipeleka shimoni taifa hili zuri.
However, sababu kuu zitakazomfanya awe Rais wa muhula mmoja si uwezo wake binafsi, la hasha bali ni;
å Tukumbuke kuwa ameukwaa Urais si kwa sababu nyingine yoyote isipokuwa kwa sbb ya takwa la kikatiba, kwamba, Rais kafa na yeye ni VP na katiba inasema yakitokea mazingira haya, basi VP moja kwa moja anaapishwa kuwa Rais. Ndiyo maana kulikuwa na struggle za chini chini za kutaka kumzuia asiwe Rais kwa baadhi ya wahafidhina kulitumia Jeshi litwae madaraka ya uongozi wa taifa hili.
å Hoja ya Utanganyika na Uzanzibari. Hii ndiyo ishu kubwa kabisa. Hata mimi nakataa kabisa Tanganyika kuwa na Rais Mzanzibari. Tunataka Rais wa JMT siku zote na mara zote awe ni Mtanganyika kwa sababu Tanganyika ndiyo JMT na JMT ndiyo Tanganyika...
Tanganyika haiwezi kutawaliwa/kuongozwa na Raia wa taifa jingine. Huu ni udhaifu mkubwa wa Muungano huu wenye utata mwanzo mwisho.
Hizi ndizo push factors zinazoweza kwa 100% kumfanya huyu mama amalizie hii miaka minne na kisha asirudi tena. Na ofcoz better iwe hivyo!
Mwinyi hakuongoza kama Nyerere, pia Mkapa hakufuata ya Mwinyi, hata Magufuli hafuata ya Kikwete. Iweje Samia ndio analazimishwa aongoze kama Magufuli?Acha kundaganya mazaa kutembelea ujiwe ni kumpoteza huyo jiwe watu walimchoka kuliko maelezo, mheshimiwa watu Wana Imani naye kubwa aache kutembelea Mambo ya jiwe atajiharibia kwa raia. Kwanza kwanini atembelee viatu vya mwenda zake?
Ni mda wa yeye kuja na vision zake na anataka kuacha legacy gani yeye Kama Raisi wa kwanza mwanamke kwa nchi yetu
So tukiwa kwenye maimbolezo ndio manbo mengine yasimame?Hujui kuwa Bado tuko kwenye maombolezo? Jamani tuweni na busara.