Kuna kila dalili Simba kupigwa hamsa na Wamorocco

Uko palee..!! tukuite nani sasa? Au Simba?
 
Makosa ya Simba ni yale yale ambayo kila siku nayapigia kelele humu ndani. Sijashangazwa na matokeo haya.
Pole sana mkuu, ila hauna timu jipange ufanye usajili wamaana. Iyo target yenu ya semi-final haiendani na uhalisia wenu. Kutoboa tu makundi safari hii itakuwa ni kimbembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…