mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Lazima mpakatwe kama hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawashwa sanaYanga badala wajiandae mambo yao lakini wamebaki umbea tu kuingilia mambo ya simba.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Uko palee..!! tukuite nani sasa? Au Simba?Kila nikiangalia kikosi dhaifu cha Simba kisha nikiangalia kosi Bora la Raja Casablanca machozi yanatiririka.😭😭
Itoshe kusema wanasimba wenzangu tujiandae tu kisaikolojia kwani goli tano nasisi zinatuhusu.
Niko paleee...............
Komenti ziwe fupifupi, matusi pia yanaruhusiwa
Cheusi MangalaUko palee..!! tukuite nani sasa? Au Simba?
Hapana . Kama hivi[emoji117]Una maanisha hamsa km hivi[emoji116]View attachment 2519355
Ongeza sautiSimba inashinda mechi ya jumamosi. Utapigwa mpira mkali kuliko mnavyodhani.
Hatoki mtu kwa Mkapa!!
Kama ndio game za kupigwa 3 home hapana kwakweliMpira utakuwa mzuri sana wenye tension na ushindani. Tuwashukuru Simba kwa kuleta aina hii ya games nchini.
Kweli kachomoka ila kachomokea mbele kagongwaPale nyuma jumamosi ni matatizo, hapo kati kabisa, ndemla na mkude ni matatizo. Hauna namna simba anachomoka hapo keshokutwa.
Unatamani uje kufuta ila nafsi inakusutaTunaogopa Ban lakini wewe ni mzinguaji sana.
UNAPATA FAIDA Gani kukaa na kuandika Pumba kiasi hicho.
Tafuta vitabu tafuta Bible soma
Wewe KULETA habari mbovu tu za Simba.
MSHAMBA SANA WEWE.
Makosa ya Simba ni yale yale ambayo kila siku nayapigia kelele humu ndani. Sijashangazwa na matokeo haya.Kama ndio game za kupigwa 3 home hapana kwakweli
Yaani hata sare Leo wangeshangilia sanaSimba Sc klabu ya taifa inatafuta ushindi, sare peleka utopoloni..
Pole sana mkuu, ila hauna timu jipange ufanye usajili wamaana. Iyo target yenu ya semi-final haiendani na uhalisia wenu. Kutoboa tu makundi safari hii itakuwa ni kimbembeMakosa ya Simba ni yale yale ambayo kila siku nayapigia kelele humu ndani. Sijashangazwa na matokeo haya.
Kweli Mkapa hatoki mtu[emoji23][emoji23]Simba inashinda mechi ya jumamosi. Utapigwa mpira mkali kuliko mnavyodhani.
Hatoki mtu kwa Mkapa!!
Uhalisia umeonekanaUsijifiche nyuma ya kisoda, onyesha uhalisia wako
Au siyoSimba Sc klabu ya taifa inatafuta ushindi, sare peleka utopoloni..
Kwisha kweri kwerjWaarabu nimekutana nao kunduchi wameenda kupiga dua. Mnyama kaisha walahi