mganda og
Senior Member
- Feb 23, 2023
- 134
- 445
Kwa jinsi navyojua viongozi wa Afrika walivyo wapenda rushwa, Kuna kila dalili ya kuwa klabu hii kongwe imetoa mlungura ili wapewe nafasi ya kushiriki hilo bonanza.
Kibaya zaidi ni kuwa ukifuatilia huu mchakato wa kupata timu shiriki za haya mashindano ndio utashangaa jinsi ulivyojaa rushwa.
Ukitafakari hii klabu kongwe ki undani zaidi huioni kwa kigezo chochote kuwa mshiriki wa mashindano haya. Kuanzia ubora wa timu, Current form na hata historia yake kwenye mashindano ya Caf.
Timu ambayo kwa sasa haiwezi hata kuchukua kikombe chochote nchini kwake, ina wachezaji wazee na wengine wa kuokoteza itawezaje kushindana na Mabingwa walioshindikana Afrika?
Viongozi wa chama cha soka ambacho inatoka hii timu ukiwatizama machoni tu utajua Kuna jambo kubwa lipo nyuma yapazia.
Waandishi wa habari nao hawajaachwa nyuma, ukiwauliza ni vigezi gani vimetumika kuiteua hii timu kushiriki hili bonanza hawajui, Kibaya zaid hawawezi hata kuhoji
Vyombo Vinavyopambana na Rushwa duniani hebu fuatilieni hili suala.......
NB: Sijaitaja timu yoyote kwaio mpo huru kuchangia bila uchochezi