Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hajaumia, ila kwa kuwa umesema ni bonanza, kuna haja gani ya ulivyoviita 'vyombo vya kimataifa vya rushwa' kufanya uchunguzi wa uteuzi wa washiriki wa bonanza? Yaani mfano kwa hapa Tanzania, PCCB ifanye uchunguzi wa uteuzi wa timu za Mapinduzi Cup wakati ni bonanza?Mbona kama wewe ndio umeumia? Haijatajwa timu yoyote kwa jina humu
Acha bonanza liendelee, tena ni bonanza la kipekee maana kwa maandalizi tu timu inapewa 5B, halafu ukiangalia hela zenyewe zinatokana na faini na malipo ya kesi kesi kama za Yanga vs Morrison au Yanga vs Feisal