mganda og
Senior Member
- Feb 23, 2023
- 134
- 445
- Thread starter
- #21
Bado umeshindwa kujibu hoja na unanishambulia Mimi binafsi. Halafu Sijaitaja timu yoyote kwenye bandiko langu, Kwa mashambulizi haya inaonekana wazi kuna timu haina vigezo na ninyi mnaweza kuwa mnajua hilo kwaio mnanishambulia kwa kuona navujisha siri msiyotaka ifahamike sio?Watu jamii ya huyu wakuogopa kama Ukoma
Hawa niwatu wenye Roho Mbaya,Chuki na Wivu uliopindukia!
Niwatu Hatari sana Katika Dunia Hamuwezi Pata Wote
Wakati wako ukifika Nawe Utapata tu