Tetesi: Kuna kila dalili Timu fulani imewahonga Viongozi wa Caf ili wapate nafasi Super league

Mbona kama wewe ndio umeumia? Haijatajwa timu yoyote kwa jina humu
Hajaumia, ila kwa kuwa umesema ni bonanza, kuna haja gani ya ulivyoviita 'vyombo vya kimataifa vya rushwa' kufanya uchunguzi wa uteuzi wa washiriki wa bonanza? Yaani mfano kwa hapa Tanzania, PCCB ifanye uchunguzi wa uteuzi wa timu za Mapinduzi Cup wakati ni bonanza?

Acha bonanza liendelee, tena ni bonanza la kipekee maana kwa maandalizi tu timu inapewa 5B, halafu ukiangalia hela zenyewe zinatokana na faini na malipo ya kesi kesi kama za Yanga vs Morrison au Yanga vs Feisal
 
Of course hatukatai kuna maneno ya kiutani wa jadi ambayo yanatumiwa ila hayaakisi ukweli

Ila ile kauli ya Manara kuhusu kikwete na Baba yake haikuwa utani
Jamaa alikua anasema ukweli tupu. Mfuatilie Ali Kamwe ndio utaona jamaa alichokiongea
 
uko vzr
 
fuatilia timu bora hata ishirini z caf afu uje tena
 
Umekosa tu tunguli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…