3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Hili la kutafuta kiki kupitia Simba ni kweli.Nachoelewa Mimi ni kwamba Kitenge uwa anatafuta kiki ya kutrend mitandaoni, ndio Mana uchambuzi wake katika Simba siku zote unakuwa wa negative.
Sjui kwanini HAJI anabishana na mtu hv wkt anajulikana ujinga wake ni kuiponda Simba.
Amuache aropoke bila kujibizana nae