Kuna kila dalili wachambuzi Wasafi FM wamemchoka Maulid Kitenge

Haya maandishi ni kama akili ya Manara vile imeandika au chawa wake....kwa ufupi umeandika upuuzi mtupu....tumefuatilia kipindi cha leo cha Wasafi na walikuwa "very professional" katika kulizungumzia hili swala kwani wameenda mbali mpaka kuweka sauti zote za CEO wa Simba na za Kocha ili ziweze kutusadia sisi wasikilizaji tujue mbichi na mbivu.....acha kutumika wanasema akili za kuambiwa changanya na zako ..lakini kama kweli akili unazo kwani nalo ni jambo jingine...
 
huyu ambangile ha qualify hata kuchambua rede
 
Uzi unahusu Kitenge na Wafanyamazi wenzake wa wasafi watu wanaanza kuongelea Yanga na GSM.
Akili finyu hizi.
 
Kwa mara ya kwanza ile habari ya Morison ilitolewa na mtandao wa African Sports. Kitenge akaja kuirusha ile habari kama tetesi (i.e inasemekana). Sasa hapo tatizo lipo wapi? Si kweli inasemekana?

Haya, njooni kwa Dauda. Wewe umemsikia Bumbuli akimtukana Dauda, au kumkashifu?
Simba ni timu yenye mashabiki hovyo sana.
 
Wa hovyo kuliko nyie Uto?

Jifariji tu, ila wewe mwenyewe unajua amani tuliyonayo mashabiki wa Simba kwa namna timu inavo perform.
 
Wa hovyo kuliko nyie Uto?

Jifariji tu, ila wewe mwenyewe unajua amani tuliyonayo mashabiki wa Simba kwa namna timu inavo perform.
Simba hamna amani yeyote. Muhindi akitajwa mnaruka ka pimbi. Akiumwa tumbo la kuhara mnaanza kufukiza ubani, dua mji mzima.
Morison hana nidhamu na hapatani na kocha. Kubalini tu, kwani ndiyo nini?
Mbona magazeti yameandika kuhusu Ntibanzokiza etc ... na watu wamechuna tu.
Huo ndiyo ubovu wa Simba, wengi wenu ni mapolisi, wanajeshi na mgambo. Pia madalali wengi ni Simba.
 
We jamaa unaongea kwa jazba 😁😁
Pole sana. Mbaya zaidi unakuta ni kijana mdogo halafu unashabikia na CCM.

Huwa nikiona kijana wa kileo yupo Yanga na CCM uwa namuona mshamba Kolo fulani vile.

Kuna jamaa kwanza ni Mwl, ana makato huko balaa, then anaipenda Yanga, mbaya zaidi ni mwana CCM... Aisee kuna watu duniani
 
Yanga ni timu yenye mashabiki wapumbavu kabisa kama hivi
 
Mmh umeandika kiushabiki mno...Mimi pia nilisikiliza kipindi hicho Kama ilivyo kwa watu wengine...wewe ulitarajia CEO wa sImba aseme nini na kocha aseme nini...kikubwa Kama wewe ni mtu unayechambua issues ni kile alichosema kocha kuwa kilichotokea Kati yake na Morrison ni suala la 'kifamilia'...Sasa sijui wewe ulielewa vipi hapo?!...wakati mwingine muwe fair...naona watu wa Simba mmelishupalia sana suala la Kitenge...Na hamjui kuwa msemaji wa Simba anatamka Mambo mengine ambayo ni very unprofessional na hata jinai...kutamka matusi ya nguoni hadhrani au mitandaoni ni jinai...
 
Kwa hizi sarakasi za mpira wa nchi hii, ni mala ngapi, mambo yanaanza kama tetesi, viongozi wanaulizwa , wanakuwa wakali, na kutishia kuwapeleka watu mahakamani, kwa kuchafua image zao, lakini, badaye yanakuja kuwa kweli?!??yaani haji anajifanya ana uchungu na simba kuliko hata MO, anayetumia ma bilioni kwenye timu?!!
 
Inaelekea huko Simba hakuna mwanaCCM
 
Kitenge kutangaza habari za udaku za simba kwenye chaneli yake sio shida.
Shida ni kutumia platform ya wasafi kusambaza habari za uongo.
 
Watamchoka boss wao?
 
Sema ujinga wako wewe,Kitenge kazungumzia tetesi za wachezaji.....na wala si yeye pekee aliyepost hiyo tetesi......sasa mambo ya tetesi za mikia yanahusiana nini na Yanga ? Acha kutumia kile kiungo alichokisema Dr Masaburi kufikiria
 
Hilo jambo liliwahi kutamkwa na wajumbe wa utendaji waliolazimishwa kujiuzulu, walikuwa kwenye kikao wakawa wanahoji kuhusu mdhamini kuingilia uendeshaji wa timu kumbe kuna wengine wanawarekodi na kupeleka clip kwa mdhamini mpaka mdhamini akatishia kujitoa ni jambo la kusikitisha sana na leo yanajirudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…