Kwa hiyo Cag aliyekagua unamwona kilaza? Wewe utakuwa na ukurutu ktk ubongo.Ruzuku ni Kodi kama Kodi nyingine, matumizi yasiyofaa ni ubadhirifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Cag aliyekagua unamwona kilaza? Wewe utakuwa na ukurutu ktk ubongo.Ruzuku ni Kodi kama Kodi nyingine, matumizi yasiyofaa ni ubadhirifu
Vyama vijiendewhe kwa michango Ayo wanachama. Period. Huu ulaji mwingine wa kutengeneza tu.Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:
Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.
Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.
Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.
Na vitega uchumi vya ccm vitaifishwe na serikali viwe mashirika ya umma mana vilijengwa kwa kodi za umma.Vyama vijiendewhe kwa michango Ayo wanachama. Period. Huu ulaji mwingine wa kutengeneza tu.