Kuna kila dalili watu wakaomba ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya ruzuku ya CHADEMA au pengine kutaka isitishwe kutolewa

Kuna kila dalili watu wakaomba ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya ruzuku ya CHADEMA au pengine kutaka isitishwe kutolewa

Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:

Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.

Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.

Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.
Vyama vijiendewhe kwa michango Ayo wanachama. Period. Huu ulaji mwingine wa kutengeneza tu.
 
Vyama vijiendewhe kwa michango Ayo wanachama. Period. Huu ulaji mwingine wa kutengeneza tu.
Na vitega uchumi vya ccm vitaifishwe na serikali viwe mashirika ya umma mana vilijengwa kwa kodi za umma.
 
Back
Top Bottom