Tetesi: Kuna kila dalili ya Mheshimiwa Charles Kitwanga kurudishwa ktk baraza la Mawaziri

Hali zeni wana JF siasa.

Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu.

Sitaki maswali ila muda utaongea.
Sawa umekuja kwa shari au.... Potea huko
 
Yaa kwakuwa yeye ni CCM na mm naungana na ww maana hiki chama weacha2
 
Inawezekana akarudi tu, kosa alilopatikana nalo si la wizi wa mali ya umma, ni Ulevi, pengine kaokoka, kaacha mitungi.

Mbona Lowassa alisamehewa na Chadema, na akawa mgombea wao wa urais, why not mawe matatu?
 
Arudi tuu maana hata waliopo na anaewaongoza ni afadhali ya kutwanga...
 
Hali zenu wana JF siasa.

Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu.

Sitaki maswali ila muda utaongea na siku hiyo Uzi huu utafufuliwa.
si naye ni Mkolomije huyu?
I rest my case!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…