Tetesi: Kuna kila dalili ya Mheshimiwa Charles Kitwanga kurudishwa ktk baraza la Mawaziri

Hali zenu wana JF siasa.

Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu.

Sitaki maswali ila muda utaongea na siku hiyo Uzi huu utafufuliwa.
Sio lweli Ndugu Mnyeti, Kitwanga hatorudi kamwe
 
Na mimi nasema tu!, pale madini kuna mtu ajiangalie vizuri.

Sitaki maswali, mni-quote siku akitolewa [emoji3][emoji3]
Atachukua nafasi ya Luaga Mpina, msukuma mwenzake ambae ktk watu walioshindwa kwenda ikulu Siku ille ya vikào vya wafanyabihashara
 
Katiba isiyoruhusu mawaziri kufanyiwa "Vetting" na bunge ni bure kabisa kwani rais hata akimteua hawara yake kuwa waziri ni nani atazuia?
 
Mpina sidhani kama ataondolewa, anaweza kufikiriwa kuwa turufu uongozi wa juu wa ............ Mwaka 2025 kama kanda ya ziwa haitakuwa na wagombea wengi watakaogawana kura. Pia usimsahau Makonda 2025, chochote chawezekana.
 
Hali zenu wana JF siasa.

Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu.

Sitaki maswali ila muda utaongea na siku hiyo Uzi huu utafufuliwa.

Najua alifukuzwa Uwaziri kwa kujibu swali Bungeni akiwa AMELEWA..!
Je, kwa sasa ameacha Pombe, Urabu na Wanzuki hamywi tena?? Maana kama kaokoka tujue ili yasije yakajirudia ya kujibu maswali huku mtu akiwa chakari jicho nyanya...!!
 
Kwahiyo tukamshonee suti?
 
Hali zenu wana JF siasa.

Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu.

Sitaki maswali ila muda utaongea na siku hiyo Uzi huu utafufuliwa.

Binafsi sitaona na hata sasa sioni ajabu na si tu kurudishwa ktk baraza la mawaziri bali hata kuwa Rais kabisa !!

Ni kwa sbb watu huwa tunabadilika kutoka kuwa watu wabaya, wenye tabia mbaya na kuwa wema, wenye tabia njema. Pia kubadilika yaweza kuwa kinyume chake....
 
Najua alifukuzwa Uwaziri kwa kujibu swali Bungeni akiwa AMELEWA..!
Je, kwa sasa ameacha Pombe, Urabu na Wanzuki hamywi tena?? Maana kama kaokoka tujue ili yasije yakajirudia ya kujibu maswali huku mtu akiwa chakari jicho nyanya...!!
Itabidi kipindi cha bunge aache pombe
 
Hali zenu wana JF siasa.

Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu.

Sitaki maswali ila muda utaongea na siku hiyo Uzi huu utafufuliwa.
Kashastaafu kupiga Balimi?
 
Katiba isiyoruhusu mawaziri kufanyiwa "Vetting" na bunge ni bure kabisa kwani rais hata akimteua hawara yake kuwa waziri ni nani atazuia?
Mshauri mkuu wa Trump ni mkwe wake sioni ajabu hapo rais kumteuwa hawara wake kama anavigezo..
 
Back
Top Bottom