Tetesi: Kuna kila dalili ya Mheshimiwa Charles Kitwanga kurudishwa ktk baraza la Mawaziri

Tetesi: Kuna kila dalili ya Mheshimiwa Charles Kitwanga kurudishwa ktk baraza la Mawaziri

Kitwanga lager du ila magu ni mnoma kumtumbua kabisa rafiki wa damu
 
Ukitaka kupata PhD haraka ingia kwenye siasa alafu udahiliwe kwa ngazi hiyo ya elimu chuo chochote, wahadhiri wetu na wanasiasa acha tu. Wanaamini akiwa Rais atalipwa fadhila.
Sikuuliza mazingira aliyopitia kupata, bali iwapo kweli ana PhD na ameipata lini.
 
Hali zenu wana JF siasa.

Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu.

Sitaki maswali ila muda utaongea na siku hiyo Uzi huu utafufuliwa.
"Ramli Chonganishi" zilishapigwa marufuku
 
Wakolomije ni wapemba wanajuana kwa vilemba alitumbuliwa ili ile kashfa ya Polisi ya Lugumi ife kumbuka pesa nyingi za Lugumi alizitumia kwenye uchaguzi kupitia Mawe Matatu kwa hiyo ile ilikuwa funika kombe atarudishwa tu ni swala la muda kwanza Mwigulu kakalia kuti kavu pamoja na kujipendekeza portfolio ya Mambo ya Ndani viatu vikubwa kuropoka haitoshi!
 
Nakubaliana na wewe
 
Kitwanga akirudi siyo mbaya. Kama ningekuwa mshauri wa Mh. Raid ningempeleka Wizara ya madini maana jamaa anajua Mambo mengi hivyo akipea Wizara ya madini naamini ataimudi.
 
Akisimama popote jijini DSM, anachukua kama ameokota, ila sio Kinondoni kwa sababu Kinondoni tayari iko kibindoni.

P
yes kibindoni kwasababu ili pasiwepo kazi kubwa kumweka hapo mimi naona huyu jamaa aliye unga juhudi za mwenyeketi hapo jimboni safari yake itaishia awamu hii. hilo limefanywa purposely...
 
Back
Top Bottom