Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #61
Kumbe kubebana ni kote dunianiMshauri mkuu wa Trump ni mkwe wake sioni ajabu hapo rais kumteuwa hawara wake kama anavigezo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kubebana ni kote dunianiMshauri mkuu wa Trump ni mkwe wake sioni ajabu hapo rais kumteuwa hawara wake kama anavigezo..
Yule hata asipopiga marimba maana ni kanda ya nyonyo, halafu timu BashiteNaona unapiga zumari...sjabisha lakini!
Ukiachana na wizara ya mambo ya ndani wizara gani inamfiti?Kitwanga arudi tu kwenye system, jamaa hana noma na mtu!, Kama kuweka vyombo wengi wanaweka vyombo lakini kwa Kitwanga kuweka kwake vyombo hajaiibia nchi hata senti tano na wala hajaonea mtu yeyote!. Kweli alikosea lakini keshawajibika tayari!. naunga mkono Kitwanga arudi kwenye serikali!
Ulevi ulevi.Kwani hivi alisimamishwa kwa kosa gani vile?
Maana kiki zimekuwa nyingi hadi kichwa kinayumba.
RamliNdonini hiki au ramli??
The child like fatherUmekuwa na wewe ni Paskal wa JF maana nyuzi zake mbili tatu huwa zinaishi
SawasawaMungu Ni Mwema Wakati Wote
Ukitaka kupata PhD haraka ingia kwenye siasa alafu udahiliwe kwa ngazi hiyo ya elimu chuo chochote, wahadhiri wetu na wanasiasa acha tu. Wanaamini akiwa Rais atalipwa fadhila.Hivi Kitwanga amekuwa Daktari (PhD) lini?
Ndiyo maana ukaambiwa anarejeshwa barazani.Kitwanga arudi tu kwenye system, jamaa hana noma na mtu!, Kama kuweka vyombo wengi wanaweka vyombo lakini kwa Kitwanga kuweka kwake vyombo hajaiibia nchi hata senti tano na wala hajaonea mtu yeyote!. Kweli alikosea lakini keshawajibika tayari!. naunga mkono Kitwanga arudi kwenye serikali!
Sasa Mwigulu si anaonekana kikwazo 2025?Yawezekana JIWE anakumbuka fadhila za rafiki yake Chapombe
Yawezekana JIWE anamuhitaji sana sasa kama tetesi za Chapombe kuwa naibu kamanda wa Watu Wasiojulikana na kufanya kazi kwa ufanisi
Pia hawezi kumtupa ngosha mwenzake
Pia Arusha Jiwe alimsifu sana Sirro na siyo Mwigulu ambaye zaidi ya karata ya kupambana na upinzani hana afanyalo wizarani
Embu tuambie ukijuacho maana waonekana kujua jamboHivi kuna watu wanaamini kweli Kitwanga alikua amelewa siku ile bungeni?
CCM tawaleni milele na milele,mpk siku watu watakapojielewa.AMIN