Tetesi: Kuna kila dalili ya Mheshimiwa Charles Kitwanga kurudishwa ktk baraza la Mawaziri

Pombe ameacha?Hivi hakuna mtu anayeweza tengeneza pombe Kwa brand yake?itauza sn.
Au undugunization na Pogba utafanya kazi?

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana
 
Hali zenu wana JF siasa.

Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu.

Sitaki maswali ila muda utaongea na siku hiyo Uzi huu utafufuliwa.

Unaweza ukawa sahihi mkuu.nawajua hawa wawili historia yao ya urafiki.Hata nilishangaa ujasiri wa mkuu kumtemgua mwenzie
 
Hali zenu wana JF siasa.

Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu.

Sitaki maswali ila muda utaongea na siku hiyo Uzi huu utafufuliwa.
No japo alionewa tuu, lakini hawezi kurudishwa, bali atapoozwa kama mama Kilango, kwa kupewa kazi nyingine kama ubalozi, ili hili jimbo ampishe Mkolomije.
P
 
Kwani Kitwanga kaacha kutwanga, ili akirejeshwa asijetwangwa tena?
 
Kwa hiyo anatemwa nani? Au atatengenezewa ka wizara kake maana hakuna linaloshindikana!
 
Hali zenu wana JF siasa.

Sitaki kuandika wala kuongea mengi ila nasema tu, Mheshimiwa Dr Kitwanga atarudi barazani muda sio mrefu.

Sitaki maswali ila muda utaongea na siku hiyo Uzi huu utafufuliwa.
uko sahihi , inasemekana vikao vya utekaji vinavyofanyika BOT Mwanza vimempa chati sana
 
Na mimi nasema tu!, pale madini kuna mtu ajiangalie vizuri.

Sitaki maswali, mni-quote siku akitolewa [emoji3][emoji3]
 
Sijawahi sikia popote huyu jamaa ni dr ndio kwanza nasikia kwako leo japo ni mbunge wa jimbo letu na mara kwa mara namuona
 
Back
Top Bottom