Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Kulingana na duru mbalimbali za kisiasa na mizozo ya kimataifa kuna kila namna ya mataifa ya ulaya na Asia hasa Japan na Korea ya kusini kuingilia mzozo wa mashariki ya kati kuhusu usafiri wa mfereji wa Homuiz. Leo Korea imetoa taarifa inayoashiria kuwepo kwa mipango hiyo.
Soon or never
Soon or never