Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Kumpiga Iran au? Kumpiga USA au?Kulingana na duru mbalimbali za kisiasa na mizozo ya kimataifa kuna kila namna ya mataifa ya ulaya na Asia hasa Japan na Korea ya kusini kuingilia mzozo wa mashariki ya kati kuhusu usafiri wa mfereji wa Homuiz. Leo Korea imetoa taarifa inayoashiria kuwepo kwa mipango hiyo.
Soon or never
Kuwa number 1 wala sio kazi ngumu lakini kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi muda wote ndio ugumu ulipo. Marekani kwa sasa ni sawa tu na yule Simba anaekunywa Chai kule Zanzibar.
Duuuu unamdharau sana mmarekaniKuwa number 1 wala sio kazi ngumu lakini kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi muda wote ndio ugumu ulipo. Marekani kwa sasa ni sawa tu na yule Simba anaekunywa Chai kule Zanzibar.
Mmarekani na Myahudi tayari wameshamnyoosha muirani. Irani kwa sasa anajitutumua tu lakini kiuhalisia ameshakalishwa, hajui hata afanye nini. Rais wao waliyempachika anaishi mafichoni kama nguchiro hana hata kiongozi mkuu kutoka nchi nyingine wa kuzungumza naye. Wenzake Nyetanyau na Trump wapo wanaendelea na harakati zao baada ya kula vichwa vya top layer yote ya muajemi.Duuuu unamdharau sana mmarekani
Hajawa underdog kihivyo, ni vile tu trump hapewi baraka za wamarekani walio wengi juu ya maugomvi yake.
Pole shogaMmarekani na Myahudi tayari wameshamnyoosha muirani. Irani kwa sasa anajitutumua tu lakini kiuhalisia ameshakalishwa, hajui hata afanye nini. Rais wao waliyempachika anaishi mafichoni kama nguchiro hana hata kiongozi mkuu kutoka nchi nyingine wa kuzungumza naye. Wenzake Nyetanyau na Trump wapo wanaendelea na harakati zao baada ya kula vichwa vya top layer yote ya muajemi.
Ndio maana ayatollah kapelekwa kuzimu. LolPole shoga
Mbona jambo la kawaida sana.Kwa hiyo Korea Kusini na Japan ndio wataweza kumpiga Iran?
Hapo hapo hao Korea na Japan wanalindwa na USA huko Asia Pacific dhidi ya China.
Kweli sikio linataka kuzidi kichwa.
Mbona jambo la kawaida sana.
Inamaana hujawahi muona boss anaomba michango ya harusi kutoka kwa watumishi wake?
Hukuona watu wanachangishana ili kuendesha msiba uliotokea kwenye familia inayojiweza?
Mifano si tunayo hapahapa.
Sawa mchamee wa jfMmarekani na Myahudi tayari wameshamnyoosha muirani. Irani kwa sasa anajitutumua tu lakini kiuhalisia ameshakalishwa, hajui hata afanye nini. Rais wao waliyempachika anaishi mafichoni kama nguchiro hana hata kiongozi mkuu kutoka nchi nyingine wa kuzungumza naye. Wenzake Nyetanyau na Trump wapo wanaendelea na harakati zao baada ya kula vichwa vya top layer yote ya muajemi.
Kufa ni kawaida. Ila je hao viongozi wa Israel wangebaki Israel wasingekufa!? Wote walikimbilia Cyprus na Ujerumani.Ndio maana ayatollah kapelekwa kuzimu. Lol