Habari zenu?
Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli nimekuwa na Wasiwasi.,,,hata sielewi,, nifanye Nini kwa sasa,,,ili kuang'amua hiking kitu.
NIMEWEKA PICHA HAPO CHINI NDUGU ZANGUπππ
Mkuu mkeo tayari kaenda kwa sangoma.Habari zenu?
Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli nimekuwa na Wasiwasi.,,,hata sielewi,, nifanye Nini kwa sasa,,,ili kuang'amua hiking kitu.
NIMEWEKA PICHA HAPO CHINI NDUGU ZANGUπππ
Ila Jd ππWe sema tu kilichokujia akilini ni kwamba mkeo kakuendea kwa mganga, hapa umekuja kutaka kuhakikishiwa tu, sema ngozi nyeusi kwa kuamini ushirikina tu tuko vizuri
Usihofu ni ugoro Tu huoHabari zenu?
Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli nimekuwa na Wasiwasi.,,,hata sielewi,, nifanye Nini kwa sasa,,,ili kuang'amua hiking kitu.
NIMEWEKA PICHA HAPO CHINI NDUGU ZANGUπππ
Nikimuuliza sidhani kama ataniambia ukweli,,,najua atatafuta namna ya kunidanganya,,,na nitamfanya aanze kufanya vitu kwa Siri,,,,maana atakuwa ashajua nishaanza kumfatiliaMkuu mkeo tayari kaenda kwa sangoma.
Muulize tu kwa upole, hiki nini?
Utapata majibu elfu.
Wanaume wamebaki wachache sana mkuu. Mtu anaona kitu nyumbani badala ya kumuuliza mkewe anakimbilia kutangaza JFSasa si umuulize mkeo...