Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 733
- 928
MAjibu kamili anayo mkeo ila ukipewa na wewe jiandae kuulizwa ulikua unatafuta nini kwenye mkoba wake
Dahh..mkuu umenichekesha sanaaNi mkongo wa kike, anataka kukupelekea moto haswa.
mbona ni kama ugoro au tumbaku tu, wasi wasi wa nini gentleman huenda wife anatumia kurefresh mind?🐒Habari zenu?
Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli nimekuwa na Wasiwasi.,,,hata sielewi,, nifanye Nini kwa sasa,,,ili kuang'amua hiking kitu.
NIMEWEKA PICHA HAPO CHINI NDUGU ZANGU👇👇👇
Itakuwa dawa za biashara sasa yeye analeta mihemko
Ninachokifahamu mimi hapo ni kuwa hakuna jibu lenye ukweli japo hata wa 02% ,hii inatokana na kwamba michakato yoooote imefanyika mpaka kufikishwa hapo nyumbani pasipo jamaa kushirikishwa,hivyo ni SIRIEti asile peke yake wala kuletewa maji. Maisha gani hayo sasa? Kwa nini asimuulize tu?
Habari zenu?
Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli nimekuwa na Wasiwasi.,,,hata sielewi,, nifanye Nini kwa sasa,,,ili kuang'amua hiking kitu.
NIMEWEKA PICHA HAPO CHINI NDUGU ZANGU👇👇👇
Tunza Siri za ndoaHabari zenu?

mkeo akijua ID yako akasoma ulicho andika hapo, umeisha. yani unamwogopa kuulza hata vitu vya maana?Hicho ndo kinanipa ugumu wa kumuuliza Moja kwa Moja,,,