KUNA KIMFUKO KIDOGO CHA KARATASI NIMEKIKITA KWENYE MKOBA WA MKE WANGU

Nikimuuliza sidhani kama ataniambia ukweli,,,najua atatafuta namna ya kunidanganya,,,na nitamfanya aanze kufanya vitu kwa Siri,,,,maana atakuwa ashajua nishaanza kumfatilia
Mkuu katika maisha tunajifunza mengi. Uongo huwa ni rahisi kuung'amua
Ukimuuliza, jibu atakalokupa lifuatilie kwa makini na utajua ni uongo au ni ukweli.
 
Si busara kabisa mwanaume kukagua mkoba wa mwanamke, hio ni sehemu yake ya faragha, kila mtu ana faragha yake hata mtoto wako wa kumzaa sembuse mke ama mme mlie kutana ukubwani.


Halafu ni kwa nini ndoa na mahusiano yamekaa kwa kuviziana hivi, si heri kuendelea na maisha peke yako kuliko kukaa na mtu usie na imani nae.
 
Mkuu samahani. Hivi kile kidoti cha mkeo pale chini ya kitovu bado kipo? Nilimshauri afanye namna kifutike.
 
Sikukagua mkuu,,,KIMFUKO kilitoka kwenye MKOBA,,,kwasababu ulikuwa haujafungwa vizuri,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…