Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Si lazima upendwe na kila MTU: Nasra Mohamed, Mwenyekiti UVCCM ( DSM)
Kqamba vijana CCM wamemjibu Mchengerwa hilo ni jambo kubwa.At least kuna vijana wanajitambua. Wamemuweka MCHENGERWA kwenye killengeo. Machawa wengi Bongo ni vijana wa kiume.
Kwahiyo hakuna rushwa kwenye hiyo jumuiya yenu?Naunga Mkono Hoja kuwa huwezi Kupendwa na kila mtu . Hotuba Nzuri na yenye kuleta matumaini kwa vijana na kuwatia Moyo
Na ndiyo maana wamechagua siasa za mkato kwa wapinzani maana wengi wao wapo hapo kwa nia ya kula rushwa tu.CCM wakiambiwa wanakula rushwa wanavimba sana. Je na yeye watamteka?
Na bashite je?Yaani wameondolewa wote 😆😄
Nahisi upo sahihi.Huenda Samia yupo kwa Qoma. Si kwa maneno haya kwa mkwe.
Watu wa kina Nchimbi wapo wengi ccm. Kuna ambao siyo wanafiki kama huyu Tlaatlaah ambaye anajali tumbo lake zaidi.Kqamba vijana CCM wamemjibu Mchengerwa hilo ni jambo kubwa.
Wanajua Mchengerwa mkwe wa mama.
Vijana hao hawako peke yao, kuna kigogo nyuma yao.
🤓Naunga Mkono Hoja kuwa huwezi Kupendwa na kila mtu . Hotuba Nzuri na yenye kuleta matumaini kwa vijana na kuwatia Moyo
Hello!

Kisu yakhee ng'ombe yakheeMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, ametoa onyo kali kwa kiongozi mmoja anayedaiwa kuwatishia vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM). Nasra amesisitiza kuwa chama hakitamwogopa kiongozi huyo na kiko tayari kuchukua hatua dhidi yake.
Akizungumza kuhusu suala hilo, amesema:"Tutakughulikia na hatutakuogopa. Unataka upendwe na kila mtu? Kwani wewe umekuwa fedha?"
Katika hatua nyingine, Mwenyekiti huyo ameeleza kuwa chama kitachukua hatua za kinidhamu dhidi ya mtu yeyote anayesababisha usumbufu. Halikadhalika, ametoa wito wa kukomesha tabia ya kuwatishia vijana wanapokuwa kwenye majukwaa ya chama.
Chanzo : Chief Odemba
Utamuweza Mchengerwa,mkwe?Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, ametoa onyo kali kwa kiongozi mmoja anayedaiwa kuwatishia vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM). Nasra amesisitiza kuwa chama hakitamwogopa kiongozi huyo na kiko tayari kuchukua hatua dhidi yake.
Akizungumza kuhusu suala hilo, amesema:"Tutakughulikia na hatutakuogopa. Unataka upendwe na kila mtu? Kwani wewe umekuwa fedha?"
Katika hatua nyingine, Mwenyekiti huyo ameeleza kuwa chama kitachukua hatua za kinidhamu dhidi ya mtu yeyote anayesababisha usumbufu. Halikadhalika, ametoa wito wa kukomesha tabia ya kuwatishia vijana wanapokuwa kwenye majukwaa ya chama.
Chanzo : Chief Odemba
Vita ya mkoa wa PwaniTeam magufuri wameshamalizwa sasa ni wao kwa wao.
yetu macho na masikio.
Mkoa wa Pwani huo inaonekana kuna mtu katikisa meza yenye vinywaji vya gharamaWatamuweza mzee wa Kifua Kipana?
Watamuweza mzee wa Kifua Kipana?