Kuna wakati kufananishwa na mtu aliyekutangulia ni kama kutaka wewe usivuke alipofika yeye. Ja Rule aliwahi kusema hataki kusikia akifananishwa na 2 Pac wala mtu yeyote kwani anataka afanikiwe kwa jina lake.
Imagine mtu akivutiwa na kazi zako,atakuwa amevutiwa na wewe namna unavyofanya kazi kwa ubora na ubunifu uliobarikiwa kuwa nao au itakuwa kwa sababu amevutiwa na kazi zako kutokana na unavyojifananisha na fulani?
Kama ndivyo,kwanini ahangaike na coppy wakati original ipo/yupo?
Hata hivyo,kwangu labda wafanane sura kwa sababu wote ni ke. Ila katika ubora wa kazi,ubunifu,kujituma na namna yankujibrand hawakaribiani hata kidogo.