mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
Mpuuzi anaendelea kufanya upuuzi.Inachukua mmoja kumjua mwingine. Kitendo cha kujua mimi mpuuzi ni dhahiri kuwa na wewe mpuuzi pia. Ikiwa comment haikuwa ya kwako ukaamua kuleta kimbelembele kumbe nia na madhumuni ilikuwa ni kudhihirisha upuuzi wako pia.
Ila sishangai nina yakini una nasaba na kina Kaole na James Delicious hivyo hapa upo kwenye kutafuta wateja, ila pamoja na upuuzi wangu silali mabwabwa. Katafute kwingine pimbi wewe.