Kuna kipi cha kufanana kati ya Angelina Jolie na Irene Paul?

Kuna kipi cha kufanana kati ya Angelina Jolie na Irene Paul?

Inachukua mmoja kumjua mwingine. Kitendo cha kujua mimi mpuuzi ni dhahiri kuwa na wewe mpuuzi pia. Ikiwa comment haikuwa ya kwako ukaamua kuleta kimbelembele kumbe nia na madhumuni ilikuwa ni kudhihirisha upuuzi wako pia.
Ila sishangai nina yakini una nasaba na kina Kaole na James Delicious hivyo hapa upo kwenye kutafuta wateja, ila pamoja na upuuzi wangu silali mabwabwa. Katafute kwingine pimbi wewe.
Mpuuzi anaendelea kufanya upuuzi.
 
Irene naye ni Mpuuzi sana kwanini ang'ang'anie kwamba yeye kafanana na Angelina Jolie kwanini isiwe A.Jolie ndio kafanana na Irene?
Haiwezi kuwa Jolie ndie afanane na Irene kwa sababu Jolie ni mkubwa sana kwa Irene na kwa hiyo, aliyekuja baadae duniani ndie kagelezea kwa mwenzake!!!

So, kama kweli wanafanana, basi ni Irene ndie kafanana na Jolie kwa sababu alimkuta duniani!!!
 
Back
Top Bottom