Kuna kipi cha kufanana kati ya Angelina Jolie na Irene Paul?

Hivi kwanini wabongo tuna pua mbaya sana,wakati wazungu pua zao ni ndefu nzuri zimenyooka
 
Labda kifuani tu na pale kati patamu,pengine hakuna mfanano kabisaaa
 
Zaidi ya hivyo vishavu hakuna kingine
 
ila huyu Irene huwa anajua sana kuigiza. Hata kumsikiliza anaonekana anauelewa.
 
Kuna wakati kufananishwa na mtu aliyekutangulia ni kama kutaka wewe usivuke alipofika yeye. Ja Rule aliwahi kusema hataki kusikia akifananishwa na 2 Pac wala mtu yeyote kwani anataka afanikiwe kwa jina lake.

Imagine mtu akivutiwa na kazi zako,atakuwa amevutiwa na wewe namna unavyofanya kazi kwa ubora na ubunifu uliobarikiwa kuwa nao au itakuwa kwa sababu amevutiwa na kazi zako kutokana na unavyojifananisha na fulani?
Kama ndivyo,kwanini ahangaike na coppy wakati original ipo/yupo?

Hata hivyo,kwangu labda wafanane sura kwa sababu wote ni ke. Ila katika ubora wa kazi,ubunifu,kujituma na namna yankujibrand hawakaribiani hata kidogo.
 
Ni kweli wanafanania kwa mbali labda akizeeka ndio taswira itakuja ya angelina mana mama wa hollywood mashavu yameshachuma kunde
 
Ni sawa na kufananisha ubora wa Heineken na mataputapu
 
Irene Paul anajitahidi sana kuigiza lkn level za Angelina Jolie bado sana. Jolie anacheza movie za mapigano na anazimudu balaa lkn huyu wa kwetu hata kushika kisu hawezi.
~Mr. & Mrs. Smith ni moja ya movie bora kabisa ya Angelina Jolie
~Love & Power ni moja ya movie bora kabisa ya Irene Paul
 
Irene naye ni Mpuuzi sana kwanini ang'ang'anie kwamba yeye kafanana na Angelina Jolie kwanini isiwe A.Jolie ndio kafanana na Irene?
 
Haya ndio madhara ya serikali kushusha bei ya ugimbi, hivi kweli unaweza kumfananisha Angelina Jolie na huyo sijui nani?
 
Sidhani kama huyo Irene sijui ukimpa movie za action kama tomb raider au salt ataweza.


But kwa sura kidogo wamefanana.
 
aaahhh angelina jolie huyo demu noma,huyo ndo kanumba wa mamtoni!
 
Binadamu kufanana ni kitu cha kawaida sana, mimi sioni cha ajabu hapo. Isipokuwa tu huyo mdada hajafanana kabisa na Angelina Jolie, labda kama anaona ni ufahari kusema wamefanana naye, basi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…