Kuna kipi cha kufanana kati ya Angelina Jolie na Irene Paul?

Hii ndo bongo *****... Hahahahahah...
Tuna visirani... Sijui nani katuudhi namna hii.
 
Uzi mrefu kumbe unafananisha watu... Mwenyewe namfanana chidbenz
 
Acha kumfananisha my love Angel Jolie na Takataka za Bongo movie
 
Wanafananisha sana, kuna siku nilikutana na Irine Masaki nikajua Angelina Jolie
 
Kama ya mama yako nina yakini unaijua ilivyo maana uliptia hapo kuja kuuliza huo upuuzi.
Upuuzi umeanzisha wewe,hivyo ulitakiwa ujibiwe kipuuzi na kuulizwa kipuuzi kwa kuwa wewe ni mpuuzi.
 
Upuuzi umeanzisha wewe,hivyo ulitakiwa ujibiwe kipuuzi na kuulizwa kipuuzi kwa kuwa wewe ni mpuuzi.
Inachukua mmoja kumjua mwingine. Kitendo cha kujua mimi mpuuzi ni dhahiri kuwa na wewe mpuuzi pia. Ikiwa comment haikuwa ya kwako ukaamua kuleta kimbelembele kumbe nia na madhumuni ilikuwa ni kudhihirisha upuuzi wako pia.
Ila sishangai nina yakini una nasaba na kina Kaole na James Delicious hivyo hapa upo kwenye kutafuta wateja, ila pamoja na upuuzi wangu silali mabwabwa. Katafute kwingine pimbi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…