G G Tank JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 2,297 Reaction score 8,760 Feb 8, 2024 #1 Wiki iliyopita Baba mkubwa wangu alifariki, Siku mbili zijazo kuna msiba wa jirani nyumba zetu pua na mdomo, ghafla tena kuna msiba wa mama wa jirani yangu wa ofisini,
Wiki iliyopita Baba mkubwa wangu alifariki, Siku mbili zijazo kuna msiba wa jirani nyumba zetu pua na mdomo, ghafla tena kuna msiba wa mama wa jirani yangu wa ofisini,
M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 1,907 Reaction score 3,560 Feb 8, 2024 #2 Mimi naona ni siku zao tuu zinakuwa zimefika.