Kuna kipindi redio nyingi mfano EFM zilifikia steji mtu yoyote sababu maarufu naye ni mtangazaji

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo.
Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?.
Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money.

Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa watapewa wakina lucas mwashamba
 
Sijawahi kuwaona wajuba hao wakihitimu vyuo vya uandishi wa habari na utangazaji na sijui kama wana ethics of journalism and mass communication, wanapuyanga mbuga tu
 
Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo.
Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?.
Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money.

Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa watapewa wakina lucas mwashamba
Masanja kasoma uandishi school of journalism pale ni vile tu amejibrand kicomedi komedi lkn yule ni muandishi kabisa
 
Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo.
Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?.
Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money.

Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa watapewa wakina lucas mwashamba
Wasomi wengi ni wapumbavu na hawana mvuto katika utangazaji, katika vitu nilivyoona late Ruge ni mbunifu ni hili la kuchukua celebrities na watu wajanjawajanja wenye charisma wanaochangamsha na kuwaweka kwenye kazi za utangazaji.
Amina Chifupa
Ray C
Finna Mango
Njaidi

New edition
-Zembwela
-Baba Levo
-
-
-
 
Msisahau vituo hivyo vipo kibiashara pia.....waandishi wasomi nao watupe hizo ladha za kisomi.
 
Back
Top Bottom