Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

Exactly... Tena kwa ushirikiano mzito kutoka kwa maswahiba kama Russians na Mchina (na wengine baadhi)... Majamaa wanakalishwa chini kufunzwa na ada wanalipa Namna ya ku maintain control of the state.....Ccm wanajua fika kabisa hawana backup ya Raia wengi huku chini .. hivyo lazima watumie mbinu advanced za kijasusi ....Kuna jambo ningegusia hapa lakini anyway acha nijufunze kunyamaza😎
 
CCM ilishajifia huko, kinacholindwa ni kikundi cha watu ambao wamefisadi nchii kwa kutumia mbinu za kijambazi na sasa wanaofia wakija watu wengine nje ya wadau wao wataishia kulawitiwa tu kama wanavyowalawiti wanao wateka maana hawana maelezo sahihi ya makosa mengi waliyoyafanya tangu uhuru. Halafu siku hizi wanawatisha mpaka watumishi wa umma eti "ccm ikishindwa hivyo vyeo hamtakuwa navyo kama," ni kama vile hao wataksochukua madaraka sio watanzania ni watu toka malawi.
 
Sio katiba,ulitakiwa kusema,"kijitabu" au "vikaratasi"!
Kwenye maelezo ya Kila mwana CCM,ni marufuki kutaja neno Haki!
 
Mtandao wana hofu ya kukimbia nchi Iwapo CCM itaanguka!
Hawataki kubet kabisa na life style waliyoizoea!
Hili kweli hawawezi kukubali... Maana hata sehemu yakukimbilia inategemea ni wapi...
Hata wakisema wakimbilie marekani, Kuna swala la extradition na kutaifishwa mali. Wakisema wakimbilie china hawawezi survive maana kwanza mchina kukugeuka ni sekunde na hata hizo pesa huwezi tumia kwa Uhuru ukiwa huko.. they know exactly watapoteza pakubwa sana
 
Huu ndio uzi!
That i ever seen

 
Kwa hiyo ni bora tuwaachie CCM waendelee kutawala hata kama wanatuua!?
 
Hujaelewa mada inaongelea Nini. You are very shallow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…