ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Miaka miwili iliyopipa jiji la Kyyiv lilizingirwa na majeshi ya Russia.
Wote tulishuhudia msafara mrefu wa magari ya kijeshi yakiwa ndani ya Ukraine.
Uvamizi ule ulitisha kwa kweli. Mimi binafsi niliona kabisa mwisho wa utawala wa Zelensky.
Wote tuliona majeshi ya Urusi yakiwa kila Kona ya Ukraine.
Cha ajabu, wote tulishuhudia unasiri wa Zelensky Aki mobilise raia wa Ukraine kwamba wasikubali. Wapigane. Kweli kama utani wote tuliona ule msafara ulivyoyayuka kama barafu.
Wiki iliyopita nimemuona waziri mkuu wa UK, Rishi Sunak akilihutubia bunge la Ukraine. Nilishangaa
Kwenye hotuba yake alisema miaka miwiri iliyopita, majeshi ya Urusi yalikuwa kilometer chache toka hapo bungeni.
Ndugu zangu, kweli tusiogope ukubwa wa jambo lolote kwenye maisha. Hata kama tunazingirwa na maadui pande zote, tukiwa na unajasiri, tutashinda tu. Ujasiri ni silaha tosha.