Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ukiona muislam sifuri kichwani basi wewe usiokua muislam utakua - 0waislam vichwan ni sufuri , lin Urusi alifanya mazungumzo ? je alihaidiwa nin kuondoka ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona muislam sifuri kichwani basi wewe usiokua muislam utakua - 0waislam vichwan ni sufuri , lin Urusi alifanya mazungumzo ? je alihaidiwa nin kuondoka ?
Kama raia na western alikua nao na yupo nao mpaka sasa mwambieni aregeshe zile 20% za eneo lake zinazoshikiliwa na russia ama hazitakiWazee wa kujifariji , mapigano yalikuwa yanaendelea wakat msafar ukisonga kila action ilionekana waz , helicopter zilikuwa zinaangushwa tunaona. Sa hv unaongea ushudu gan , zelesnky kilichomsaidia ni kuwa na Raia pamoja na jeshi commitment, zaidi ya yote ni support ya western na marekan , Ila sio ngojera unazotaka kutuaminisha
Unafikir hawajui bas ni kujitoa ufahamu tu na kuleta ligi .zisizokuwa na maana.Kwahiyo Urusi waliondoka Kiev kisha wakaendelea kupigana kwingineko? Huo si ni uduanzi, unaachaje kuteka mji mkuu ili ukapigane vichochoroni.
Vifaru vya Urusi vilivyokuwa vinaelekea Kiev viliharibiwa na majeshi ya UkraineView attachment 2872415View attachment 2872416
heri walio maskini wa Roho 🐒na una umeme wa mgao wkt wenzio hawana hiko kitu
urusi hawatumii jeshi lao kwenye vita ndogo kama hii, wanatumia makampuni ya ulinzi na watu ambao wako loose loose mtaani kama wewe wanawatupa front line kwa mshahara wa kawaida tu 🐒Vita ya siku tatu imekua ya miaka mitatatu sasa patamu apo. Kwani hurusi ndio kuna vijana mbona anachukua mpaka wabakaji
Sitaki kuamini kwamba unajisahaulisha kuhusu kazi maridadi ya javelin. Na kama unasema walipaatana kusitisha mapigano na ukraine akavunja mapatano, nini kiliwazuia urusi kurudi mji mkuu na kuitwaa ukraine?Wale waliondoka baada ya mazungumzo sio kwamba waukraine waliwashinda warusi.
Mkuu JR16,Msafara ulirudi wapi? Mpaka leo yamebaki masalia ya vifaru vya Rusia pale Ukraine,huo msafara ungerudi tungeona, Javelin zilimaliza vifaru, baada ya kuona vifaru vinachangamoto ndoa Urus akabadili style ya upiganaji kwa
1. Kutumia air force zaidi
2. Melivita
3. Jeshi la miguu( Wegner fighters)
4. Vifaru kidogo
Air force na jeshi la miguu ndo limefanya kazi kubwa sana, pia Ukraine imesaidiwa sana na NATO, asingekuwa NATO Ukraine ndani ya mwezi mmoja walikuwa wanasalenda na kunyosha mikono, vita siyo mchezo, hata Rusia anatamani vita iishe imegharimu sana, warusi wengi wamekufa. Kwa sasa mashambulizi yamebaki ni kidogo sana kwa pande zote, tulijua tu endapo Ukraine itapigwa na kuchukuliwa na Rusia nchi nyingi zingeanza kushirikiana na Rusia na NATO kupoteza washirika
Mbona huna akili?hata putin alishasema hivyo kwamba waliongea na Ukraine alafu kikao kilifanyika Istanbul na warusi wakaondoa majeshi.hivi huwezi kutumia hata akili kwamba Ukraine hawawezi urusi kijeshi?angalia counteroffensive offensive.waislam vichwan ni sufuri , lin Urusi alifanya mazungumzo ? je alihaidiwa nin kuondoka ?
Stori nzuri, ila haina credible source.utakua hufuatilii habari, ule msafara ulirudi urusi baada ya germany, turkey, france, kuweka kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano......
zele alikubali pia......
siku 3 baadae Boris akaenda kiev kumwambia Zele wao (west/nato) hawatasaini hayo makubaliano, inatakiwa waendelee kupigana.....ndii ukaona vita inaendelea........
Umemkumbusha vizur sana,baada ya kupamba moto huyo Zelensky alitaka mazungumzo ndipo Putin alipomwambia mwamuzi ni kupiganautakua hufuatilii habari, ule msafara ulirudi urusi baada ya germany, turkey, france, kuweka kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano......
zele alikubali pia......
siku 3 baadae Boris akaenda kiev kumwambia Zele wao (west/nato) hawatasaini hayo makubaliano, inatakiwa waendelee kupigana.....ndii ukaona vita inaendelea........
Hiyo javelin ilisaidia nini wakati warusi wanaendelea kuchukua maeneo?hawajarudi kwa sababu hawajaamua tu.Sitaki kuamini kwamba unajisahaulisha kuhusu kazi maridadi ya javelin. Na kama unasema walipaatana kusitisha mapigano na ukraine akavunja mapatano, nini kiliwazuia urusi kurudi mji mkuu na kuitwaa ukraine?
Umekunywa togwa sio bure......maana bia haziwi hivi........umemsahau javelin kiboko ya shobo dundo za mrusiutakua hufuatilii habari, ule msafara ulirudi urusi baada ya germany, turkey, france, kuweka kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano......
zele alikubali pia......
siku 3 baadae Boris akaenda kiev kumwambia Zele wao (west/nato) hawatasaini hayo makubaliano, inatakiwa waendelee kupigana.....ndii ukaona vita inaendelea........
Hiyo javelin imesaidia nini urusi anaendelea kuchukua maeneo? javelin haiwezi kuwazuia urusi kwanza imeshakuwa krepa sio story tena.Umekunywa togwa sio bure......maana bia haziwi hivi........umemsahau javelin kiboko ya shobo dundo za mrusi
Kwamba hatojiunga na NATOmnapenda propaganda , kipi alihaidiwa Urusi kwenye hayo makubaliano mpk akarudi nyuma ? wkt siku 2 kabla ya Uvamiz aliambiwa na viongoz wa Ulaya asifanye hivyo ila alikaidi
K ya mama yowaislam vichwan ni sufuri , lin Urusi alifanya mazungumzo ? je alihaidiwa nin kuondoka ?
Ile ndio ilikuwa break yao.......sasa hivi kidogo kuna kusua sua kupereka silaha sababu ya uchaguzi marekani.........ngoja Biden arudi uone mpingo ukigeuka buaHiyo javelin imesaidia nini urusi anaendelea kuchukua maeneo? javelin haiwezi kuwazuia urusi kwanza imeshakuwa krepa sio story tena.
Unamcheka russia katumia muda mrefu kuimaliza ukraine lakini haushangai israel+usa+uk+germany wameshindwa kuimaliza hamas eneo ukubwa wa mkoa mmoja wa tanzania huu tunaenda mwezi wa 4Vita ya siku tatu imekua ya miaka mitatatu sasa patamu apo. Kwani hurusi ndio kuna vijana mbona anachukua mpaka wabakaji
Hizi picha ulipiga wewe? Kama jibu ni hapana,wewe na mada yako, 🚮 .Kwahiyo Urusi waliondoka Kiev kisha wakaendelea kupigana kwingineko? Huo si ni uduanzi, unaachaje kuteka mji mkuu ili ukapigane vichochoroni.
Vifaru vya Urusi vilivyokuwa vinaelekea Kiev viliharibiwa na majeshi ya UkraineView attachment 2872415View attachment 2872416