Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
utakua hufuatilii habari, ule msafara ulirudi urusi baada ya germany, turkey, france, kuweka kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano......
zele alikubali pia......
siku 3 baadae Boris akaenda kiev kumwambia Zele wao (west/nato) hawatasaini hayo makubaliano, inatakiwa waendelee kupigana.....ndii ukaona vita inaendelea........
Kaka unaweza kutuambia
Makubaliano yalikuwa ni nini.. maana urusi alitaka ku annex Ukraine so ina maana Zele
Alikuwa amekubali ku step down na Urusi aweke pro russia presidaa pale au? na in return yeye zele na hao kina france turkey na germany wangepata nn..?
Na kama boris na wenzie ( nato(uk/us)) hawakutaka mpango huo ilikuwaje france germany na turky wakabadili mawazo wakakubaliana nao na kuanza kupeleka silaha ikiwa walisha strike a cease fire deal